Kutokwa harufu mbaya sehemu za siri

Kutokwa harufu mbaya sehemu za siri

jay msona

Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
11
Reaction score
2
Kuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha muda mwingine asipende kufanya nae mapenzi, msaada wenu jaman tatizo nini na tunaweza kumsaidia nn ili kutoa harufu mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa na infections ama hazingatii hygiene
Kiufupi aende hospital afanyiwe uchunguzi zaidi
 
Kuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha mda mwingine asipende kufanya nae mapenzi,,, msaada wenu jaman tatizo nini na tunaweza kumsaidia nn ili kutoa harufu mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Amwambie ukweli kuwa ananuka ili ajisafishe vizuri akitoka chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha mda mwingine asipende kufanya nae mapenzi,,, msaada wenu jaman tatizo nini na tunaweza kumsaidia nn ili kutoa harufu mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ww kweli unadanganya rafiki yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha mda mwingine asipende kufanya nae mapenzi,,, msaada wenu jaman tatizo nini na tunaweza kumsaidia nn ili kutoa harufu mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hamna cha rafiki ako wala nn sema ni wewe mwenyew ila poa tu utasaidiwa ngoja wajuzi waje.
 
Mwende hospital nyote nyie maana hata ww umejihusisha nae magonjwa ya zinaa hayo
 
Back
Top Bottom