mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,099
"Weye" ndio lugha gani bwana mdogo. Siwezi kubishana na toto lilozaliwa guest. Kajifunze lugha kisha uje uandike vizuri sawa kijana.
WEYE "domo Basi" Kama ndio ungekua mtu wa kwanza kumpa ushauri Mtoa mada nadhani angekuwa amekufa Kwa UTAKATIFU wako wa Sheria na Maelezo yasio Na msingi.Wataalam katika Hii mada wameweza kumueleza namna ya kutatu matatizo ya dada yetu.Weye ni maneno tu.Kama WEYE ni Shehe,Padri,mchungaji Au Mwalimu wafuasi Au wanafunzi wako nawapa pole sana tu.Nakama unabisha rudia kusoma matapishi yako yote ktk Hii mada Halafu utaona ulikwenda shule kusomea ujinga.