"Weye" ndio lugha gani bwana mdogo. Siwezi kubishana na toto lilozaliwa guest. Kajifunze lugha kisha uje uandike vizuri sawa kijana.
Atakutindua kizazi huyo.style zote but sanasana doggystyle and ndo inaniumiza adi niweke mto tumboni
Pole sanahabari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or two weeks..
naomba msaada Kujua tatzo ni nn?
And also Nikiwa nafanya mapenzi kuna wakati naumia tumbo Mpaka nahsi kizazi kinatoka but nikiweka mto tumboni siskii maumivu..please help
Sorry for that my friend, the second emoji was incorrecti know and i regret but i was not ready..sometimes unachukua maamuzi magumu bila kupenda so u dont have to laugh at me..
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Ukweli unakuweka huru... safi sana..yes.once..nilitumia vidonge nimesahau jina lake niliingiza ukeni but niliumia sana tumbo na najuta ctokuja Kurudia.but ilikua 2013.so any help?
Watu banaa..Wewe ni kenge wa mayai, mpuuzi pekee ndiye atakayesapoti ujinga na uwendawazimu huu. Abortion is a public matter because the policy which permit it has profound and wide spread social effect. Abortion affect both men and women, beyond that, abortion is human issue, not a gender issues pumbavu. Every abortion kills an innocent human being, wote kwa pamoja we should stand against it.
Atoe uthibitisho mwenyew hapa kwamba alibakwa ndipo akachukua maamuzi yakuitoa hiyo mimba. Lkn sio wew kenge umsemee, unakaa kusapoti upumbavu. Ni tabia yao mabinti wa kike kutoa mimba hovyohovyo, madhara yake ni makubwa kiafya licha ya mauaji, wameisha zoea kuzichomoa, alafu wewe unaleta povu hapa kutetetea ujinga na lugha yako ya weye mi sio shoga lugha hiyo ongea na mashoga wenzako bwana mdogo.
Ninaomba Mungu akubariki sana, maisha haya ni mtihani, acha tu, ni rahisi sana kuongea, acha tumuombee Heri, maana ayasemayo yanaipendeza nafsi yake.Mkuu,
Ebu naomba nimtete huyu mdada. Kuna mambo yanawapata dada/mama na hata binti zetu na wanajikuta wanalazimishwa kutenda dhambi hata kwa kutokujua ama kuto kukusudia.
Hii yaweza sababishwa na mazingira, umasikini au hata umri na wakati wanao upitia katika changamoto za maisha ya kilasiku.
Ebu tusi muhukumu, kwanza tumsaidie aiseeee