Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
- #21
Nenda kamuone Daktari ukapime hormone zako je zipo sawa?na pia upime mirija yako ya kizazi ipo sawa? ksha uje unipe feedback.Asante MziziMkavu kwa somo zuri,vipi na kama mtu ana tabia ya kuruka miezi? Anaweza kukaa miezi 2 au 3 bila kupata kisha akija kupata anaweza akaenda muda mrefu sana au mfupi sana