Kutokwa na damu bila mpangilio ukeni

Asante MziziMkavu kwa somo zuri,vipi na kama mtu ana tabia ya kuruka miezi? Anaweza kukaa miezi 2 au 3 bila kupata kisha akija kupata anaweza akaenda muda mrefu sana au mfupi sana
Nenda kamuone Daktari ukapime hormone zako je zipo sawa?na pia upime mirija yako ya kizazi ipo sawa? ksha uje unipe feedback.
 
Mimi pia nasumbuliwa na hill ttzo mwanzo nlixhika ujauzito nkaambiwa umeharibika nkasafishwa ila naona masiku yanakata tu bado natokwa na damu tena inaharufu mbya mno
 
Mwanamke aliejifungua Akiwa ananyonyesha EFFECTIVELY anaeza asipate hedhi kw zaid y miez 6.
Pngn hy ndo 7bu kana kwmba mwl wako unajiandaa kuanzia kuona hedhi km kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…