maforce
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 660
- 616
Inawezekana ana fangas na hasa kama anatumia uzazi wa mpango auondoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha mkuu acha basi....hivo ngariba ndiye anahitaji kujua umri?
Mr hilo ni tatizo nahitaj msaada wa kitaalum huo ufukra wa akil umetoka wap
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ana umri gani?...kama wa miez au mwaka huwa inatokea usiwe na wasi ni kawaida ila hutokea kwa nadra sanaNaomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu
Sent from my iPhone using JamiiForums