Kutokwa na damu ukeni

Naomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ana umri gani?...kama wa miez au mwaka huwa inatokea usiwe na wasi ni kawaida ila hutokea kwa nadra sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…