Kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa matone

Kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa matone

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani la mji wa uzazi (endometrium).

Sababu kuu ya mwanamke kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa matone au damu kidogo ya kupangusa husababishwa na uwepo wa viwango vya chini sana vya homoni ya 'Estrogen''


1666866739205.png
 
Vp kuhusu wale wanaotumia uzaz wa mpango nao wanakumbwa na kadhia ya kutopata edhi kabisa na wengine kupata ya matone matone
 
Back
Top Bottom