Kutokwa na kinyama baada ya kujifungua

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,522
Reaction score
2,651
Habari polen majukumu,kwanza nitoe shukran zangu za dhat kabsa kwa wanajukwaa hili kwa msaada mkubwa wa kimawazo ya kitabibu pia nashukuru Mungu nmepata mtoto wa kiume week iliyopita ila kuna tatizo limejitokeza kwa mke wangu baada ya kujifungua amatokwa na kinyama sehemu ya aja kubwa sasa sijui hili tatizo linasababishwa na nn na nn tiba yake naomben ushauri wakuu
 
Mkuu hiyo ni bawasili na huwa kuta aghalabu wamama tangu wakiwa wajawazito hasa kipindi ambacho anapata choo kwa shida na hata wakati wa kujifungua.

Ingawa huu ugonjwa huwapata hata wasio wajawazito hivyo nashauri mpeleke hospital wakaangalie hiko kinyama kimetoka kwa ukubwa gani ili wampe tiba stahiki maana kuna dawa za kuweka huko nyuma kama tatizo sio kubwa sana au kufanya upasuaji kuondoa hiko kinyama.
 
Ugonjwa hatari sana kuna mh. ulimuua baada ya upasuaji.
 
Asante sana mkuu mana anasema kimetoka kidogo baada ya kusukuma sana mtoto atoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…