chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Habari polen majukumu,kwanza nitoe shukran zangu za dhat kabsa kwa wanajukwaa hili kwa msaada mkubwa wa kimawazo ya kitabibu pia nashukuru Mungu nmepata mtoto wa kiume week iliyopita ila kuna tatizo limejitokeza kwa mke wangu baada ya kujifungua amatokwa na kinyama sehemu ya aja kubwa sasa sijui hili tatizo linasababishwa na nn na nn tiba yake naomben ushauri wakuu