Kama umeweza kudhibidisha kuwa hizo damu ni za mwezi, thats fine. Lakini ufahamu pia kuna utoaji mimba mbaya ambao unaweza kusababisha damu kushuka kwenye K.Lakini kwa sasa maziwa haya toki tena na jana kaingia bleed,cna uhakika kama ingetoa mimba angeingia bleed hv karibuni.
Mkuu shika mkono moja, mbili......mpaka hospitali afanyiwe vipimo ili uondoe dukuduku, kwa nini uhangaike na majibu ya kubuni yaliyojaa kichwani kwako?
katoa mimba huyo 100%
Naomba unijibu haya maswali nipate cha kukusaidia
1)Hayo maziwa yametoka kwa muda gani?
2)vipi mwezi uliopita afya yake ilikuwaje?
3)mwezi uliopita alipata period?kwa tarehe muafaka?
4)unajua kitu gani kilimfanya apungukiwe damu?
Kama umeweza kudhibidisha kuwa hizo damu ni za mwezi, thats fine. Lakini ufahamu pia kuna utoaji mimba mbaya ambao unaweza kusababisha damu kushuka kwenye K.
Cha msingi mngetafuta daktari mzuri wa hayo mambo amfanyie utafiti wa kina na kama kuna tatizo amtibu ili asije akadhurika baadae.
sawa kama ni hivyo,lakini hizo siku mbili alizotoka maziwa zimepishana vipi na siku alipoanza period?yaan ametoka maziwa siku mbili kabla ya period na alipoanza period yamekata au imekuwaje?
Haina haja ya kufika huko inawezekana ni hormones tuThis is ma hood ilove jf,kiukweli nlikua na mawazo mengi bt majibu nlo yapata hapa nadhani nmeridhka,nahisi ntafanya maamuzi magumu,ibelieve anythng made/created cn also be destroyed.sioni cha kufia hapa.. Nadhani ntakuja na uzi mpya wa kutafuta kimwana hapahapa nymbani jf.
Asalaamaleykum.wanajamvi leo kunakitu ningependa kushare na nyinyi natumain mwishon ntapata ushauri wenu.ok,mimi nna mpenzi wangu,mpenz wangu huyu ni mlokole wa nguvu sana,nimekaa nae kwa mda wa mwaka1,ktk makubaliano yetu ya kimapenzi na huyu dada tulikubaliana kutofanya mapenzi mpka hapo bdae atakapokuakamaliza masomo yake kwni kwa sasa yupo mwaka wa tatu anafanya degree ya sheria.kwa mujibu wake anasema yeye ajawai kukutana na mwanaume yoyte meaning bdo bikira,sasa juzi kati aliugua na pia alikua ana upungufu wa damu,tulienda hospital akapewa dawa.tatizo linakuja, juzi alienda hosptalini tena bila kunambia, alivorudi ndo akanambia kua anatokwa na maziwa pia chuchu zinauma hvyo anahsi dawa alizopewa mwanzon zimezigua,alinambia kua hospital pia ilibdi apime na mimba, sijapata logic yake ya kupima mimb wakati anajua kbsa bdo ni bikra alafu pia naomba kama kuna mtu anieleweshe tatizo ni nini mwanamke kutokwa na maziwa tu hvo?manake nahisi kufanywa zombie mda si mrefu.
asante,ithnk kesho j5 ndo ntapata mda mzuri niende hospital,ntashukuru kma utanambia hospital nzur kwa hali kama hyo.
Asalaamaleykum.wanajamvi leo kunakitu ningependa kushare na nyinyi natumain mwishon ntapata ushauri wenu.ok,mimi nna mpenzi wangu,mpenz wangu huyu ni mlokole wa nguvu sana,nimekaa nae kwa mda wa mwaka1,ktk makubaliano yetu ya kimapenzi na huyu dada tulikubaliana kutofanya mapenzi mpka hapo bdae atakapokuakamaliza masomo yake kwni kwa sasa yupo mwaka wa tatu anafanya degree ya sheria.kwa mujibu wake anasema yeye ajawai kukutana na mwanaume yoyte meaning bdo bikira,sasa juzi kati aliugua na pia alikua ana upungufu wa damu,tulienda hospital akapewa dawa.tatizo linakuja, juzi alienda hosptalini tena bila kunambia, alivorudi ndo akanambia kua anatokwa na maziwa pia chuchu zinauma hvyo anahsi dawa alizopewa mwanzon zimezigua,alinambia kua hospital pia ilibdi apime na mimba, sijapata logic yake ya kupima mimb wakati anajua kbsa bdo ni bikra alafu pia naomba kama kuna mtu anieleweshe tatizo ni nini mwanamke kutokwa na maziwa tu hvo?manake nahisi kufanywa zombie mda si mrefu.
Kama upo dsm, mpigie dr usiri 0713575595 akupe appointment. He is a breast surgeon. Atakupa ushauri wa vipimo (cytology na kama ikihitajika histology). Google kuhusu ductile papilloma ili ujue maswali ya kumuuliza dr. All the best.