Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
- Thread starter
- #41
duh..namuonea huruma sana uyo msichana,guyz tusipende kuconclude vitu kiasi hiki.kwa wale wa jinsia ya ke tuliyeona kama huyo binti katoa mimba sote ni wanawake leo kwa mwenzio kesho kwako,wale wa jinsia ya me tutapata watoto wa kike huenda tutajifunza toka kwao.Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza imeniuma sana coz niliwah pata tatizo ambalo kwa kumuelezea tu mtu moja kwa moja anaconclude ni abortion ila sivyo ilivyokuwa ukweli ulibaki kati yangu,mungu na dokta aliyenitibu.Sisi wanawake tunamatatizo mengi.
Kaka mpendwa kama unampenda mpenzi wako kwa dhati achana kabisa na mawazo hayo mabaya.kikubwa wewe amini anachokuambia...nina rafiki yangu chuchu zake hutoa maziwa na kuuma tena mara nyingi tu ila sio kwamba katoa mimba ni hormones tu.na suala la uyo mpenzio kupima mimba ni jambo la kawaida.dokta sio mungu kwamba ajue the exactly problem bila kupima so lazima atapima vipimo mbalimbali ili ajue tatizo liko wapi.Muamini mwenzio
dah u hv a point,wala ucjali yataisha 2 hopfully.