Kutokwa na maziwa

Kutokwa na maziwa

duh..namuonea huruma sana uyo msichana,guyz tusipende kuconclude vitu kiasi hiki.kwa wale wa jinsia ya ke tuliyeona kama huyo binti katoa mimba sote ni wanawake leo kwa mwenzio kesho kwako,wale wa jinsia ya me tutapata watoto wa kike huenda tutajifunza toka kwao.Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza imeniuma sana coz niliwah pata tatizo ambalo kwa kumuelezea tu mtu moja kwa moja anaconclude ni abortion ila sivyo ilivyokuwa ukweli ulibaki kati yangu,mungu na dokta aliyenitibu.Sisi wanawake tunamatatizo mengi.
Kaka mpendwa kama unampenda mpenzi wako kwa dhati achana kabisa na mawazo hayo mabaya.kikubwa wewe amini anachokuambia...nina rafiki yangu chuchu zake hutoa maziwa na kuuma tena mara nyingi tu ila sio kwamba katoa mimba ni hormones tu.na suala la uyo mpenzio kupima mimba ni jambo la kawaida.dokta sio mungu kwamba ajue the exactly problem bila kupima so lazima atapima vipimo mbalimbali ili ajue tatizo liko wapi.Muamini mwenzio

dah u hv a point,wala ucjali yataisha 2 hopfully.
 
Mkuu Jaslaws..wengine hatukusema chochote kwani tayari ulikuwa ukielekea kwa daktari(kama ulivyosema in your post j5)...hopefully ulipata huduma.
 
rule out hyperprolactinaemia of any cause then u can judge ur gf.

inawezekana kutokwa maziwa bila kuwa na mimba au kunyonyesha.
 
We zombie tu;unafuga wenzio wanakula hahahahaaa amka kaka dunia ya hvo ishaisha
 
wewe siku izi tunapeana ushauri wa kijinga ili tufe weng man kama demu anakudanganya we tulia mungu atakuonyesha njia ukisema umbwage huyo utaemuokota ndo atakudatisha utaenda omba ushauri tweeter ma bro take her to hosp maziwa kutoka ni normal bleed tu hiyo chezea kahaba wewe!!!!!!!!!!!!
 
No hizo ni hormones tu ninakuhakikishia i knw such cases very well wengine anapofikisha 16 unakuta yanaanza nothing to worry about, kwa ushauri zaidi muone daktari
Hapo wewe nfio umetoa jibu ya hl tatizo. Mm bnt yangu ni 20 yrs old a student sns hili tatizo anepima vipimo vyote mpaka mri na kuna dawa kaandikiwa kwani kuna kipimo kiki juu sana hivyo daws hizo zinamsaidia. Wala hana mimba. Dr. Kasema huenda asipate ujauzito. Hivyo tusaidiane kwsni ni tstizo kubwa
 
Back
Top Bottom