Kutokwa na mkojo wa njano nini tatizo au madhara yake?

Loftins

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
10,485
Reaction score
13,693
Wakuu ni muda sasa kama miaka miwili natokwa mkojo wa njano nikitumia maji mengi hali hiyo hupotea na pindi naporudia kupinga punyeto hali hiyo hujirudia

Maswal
(1) ni nini madhara ya kutokwa na mkojo kwa muda mrefu?

(2) kuna uhusiano wowote wa punyeto na kutokwa mkojo wa njano kama mgonjwa wa UTI

(3) Ninapokojoa simalizi mkojo wote

NNA MIAKA 6 KWENYE ULIMWENGU WA PUNYETO

NB: Mimi si muhusika, muhusika wa hili ni Rafiki yangu wa karibu
 
C aache punyeto madem wote hawa
 

Hapo zipo sababu mbili:
Inawezekana haunywi maji ya kutosha au una magonjwa ya zinaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…