Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
Lazima afe. Hakuna tiba.
Kuna ambaye hatakufa hapa duniani?
Busara haina chuo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima afe. Hakuna tiba.
Syphilis alikua nayo akatumia AZUMA
Mpeleke hospotali wewe achana na.madaktari wa fbMkuu hali hii humtokea pindi anaporudia tu hali ya kupiga punyeto otherwise akiwa hafanyi na kunywa maji mengi hiyo hali haipati na mkojo uwa wa kawaida
Nieleze kidogo kuhusu
URINARY TRACT CANCER
Anakutisha! Wakati sio wewe!Unanitisha mkuu
Kabisa....hakuna mwenye Hati miliki na Mwenyezi Mungu...hivyo kuondoka lazima.Mkuu ya kweli hayo?
Mhusika utakuwa ni wwPunyeto anafanya vilevile wanawake huwafanya pia
Pia kuvimba tezi dume hupelekea incomplete urination. Ni vyema akaenda hospitali. Vile vile ninashauri muhusika aache punyeto haraka awezekanavyo, huenda tayari yupo addicted, lkn haiwezi kumpa uhalali wa kuendelea kufanya hivyo. Kuacha punyeto ni kazi ngumu lkn inawezekana.Kunywa maji mengi kuondoa tatizo la mkojo wa njano ,, kutomaliza mkojo wako ni dalili ya magonjwa ya zinaa
Ni kijana mdogo sana umri wake 25 yrs tezi sume anaweza kuipata kweli?Pia kuvimba tezi dume hupelekea incomplete urination. Ni vyema akaenda hospitali. Vile vile ninashauri muhusika aache punyeto haraka awezekanavyo, huenda tayari yupo addicted, lkn haiwezi kumpa uhalali wa kuendelea kufanya hivyo. Kuacha punyeto ni kazi ngumu lkn inawezekana.
Alimaliza dose? Ana muda gani tangu amalize dose?Syphilis alikua nayo akatumia AZUMA
Yani Kuna kama jamaa watatu wanamtoa hofu mshikaji ila huyu jamaa anakazana na kutoa mifano hai kwamba lazima ufe,duuuhkakomaa kweli mkuu
Tezi dume haichagui umri kama ukiitendea isivyopaswa kutendewa Mfano. Overmasturbation.Ni kijana mdogo sana umri wake 25 yrs tezi sume anaweza kuipata kweli?