Kutokwa na mkojo wa njano nini tatizo au madhara yake?

Pancreas hiyo imeanza kufeli.Hatari hiyo mshauri akamuone tabibu
 
Urinary Tract Cancer hiyo... Haina tiba. Mjomba wangu pia alikufa mwaka jana kwa tatizo hilo.
 
Urinary Tract Cancer hiyo... Haina tiba. Mjomba wangu pia alikufa mwaka jana kwa tatizo hilo.
Mkuu hali hii humtokea pindi anaporudia tu hali ya kupiga punyeto otherwise akiwa hafanyi na kunywa maji mengi hiyo hali haipati na mkojo uwa wa kawaida
Nieleze kidogo kuhusu
URINARY TRACT CANCER
 
Mkuu hali hii humtokea pindi anaporudia tu hali ya kupiga punyeto otherwise akiwa hafanyi na kunywa maji mengi hiyo hali haipati na mkojo uwa wa kawaida
Nieleze kidogo kuhusu
URINARY TRACT CANCER

Urinary Tract Cancer ni ugonjwa wa njia ya mrija wa mkojo (Urethra) kutoa usaha ambao ukichanganyika na mkojo halisi unakua wa njano, mgonjwa hukojoa lakini hamalizi mkojo wote.
Spika wa Binge Samuel Sitta alikufa kwa ugonjwa huu...
Producer Roy (aliyetengeneza beat ya Chungwa ya Sumalee) alikufa kwa ugonjwa huu..
Cancer hii haina tiba mpaka hivi sasa. Mjomba wangu pia alikufa kwa kukosa tiba
 
Acha kumuogopesha, aende hospital akapime kwanza..... ila sidhani kama n tatizo kubwa saana
 
Upungufu wa maji mwilini katika Hali ya kawaida unatakiwa unywe lita 3 za maji Kila siku na unazibreak down Kila nusu saa baada ya kula unakunywa at least lita moja ingawaje Utejekelezaji ni mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…