Kutokwa na mkojo wa njano nini tatizo au madhara yake?

Mkuu hali hii humtokea pindi anaporudia tu hali ya kupiga punyeto otherwise akiwa hafanyi na kunywa maji mengi hiyo hali haipati na mkojo uwa wa kawaida
Nieleze kidogo kuhusu
URINARY TRACT CANCER
Mpeleke hospotali wewe achana na.madaktari wa fb
 
Watanzania wengi wanawaza sana ngono ndo mana nyuzi za chaputa huwezi kupita siku hujakutana na tano humu,, kuna hospital fulani hapa tz mama mjane mwenye watoto 2 alikuwa na tabia ya kupiga punyeto kwa kutumia kifaa flan kinene mithili ya chuma kikanasia huko ndo kwanza amepelekwa kutolewa anadai mume alimwacha na mtoto mdogo kwa hiyo anaogopa kukwichi kwichi
 
Kunywa maji mengi kuondoa tatizo la mkojo wa njano ,, kutomaliza mkojo wako ni dalili ya magonjwa ya zinaa
Pia kuvimba tezi dume hupelekea incomplete urination. Ni vyema akaenda hospitali. Vile vile ninashauri muhusika aache punyeto haraka awezekanavyo, huenda tayari yupo addicted, lkn haiwezi kumpa uhalali wa kuendelea kufanya hivyo. Kuacha punyeto ni kazi ngumu lkn inawezekana.
 
Ni kijana mdogo sana umri wake 25 yrs tezi sume anaweza kuipata kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…