Kutokwa na nyege ninapolala usingizi

dashq

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Tatizo langu me ninapolala tu usiku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege sasa ila tendo me silipendi sasa nilikua naomba ushauri nifanye nini ili kisinitokee tena hicho kitu
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

unatokwa na nyege??

hebu tueleze zinafananaje?
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2
Wewe ni mvulana au msichana?

Hizo nyege zinazokutoka zina rangi gani?
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

Uxhauri ndo nini?
 
nimeshangaa kuona neno kutokwa na nyenge lakini kumbe mtu mwenyewe mtoto basi ngoja akue kwanza aweze kutofautisha mambo tutamsaidia.
 
Msituleteee watoto huku, swali halielekewi umri wa tuition yaaani!!!!!!
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

mwandiko wako haufai hapa JF peleka facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…