Kutokwa na nyege ninapolala usingizi

Kutokwa na nyege ninapolala usingizi

Andaa passport size 2, sh 2000 na kitambulisho cha shule ili tukusajili kwenye chama chetu cha CHAPUTA, hutatokwa na minyege tena.
 
Tafuta dume na sabuni kila unapolala,shusha na neti ili watu wasikuchungulie.
 
Me mvulana 20

hizo zinaitwa wet dreams, in another word bado unabalee,kila mwanamke utakae muona unamtamani,thats why usiku usiku unakuwa unadischarge semens ambazo zilikuwa simejazana kwenye mrija mchana kutwa baada ya kuwatamani hata wanawake ambao sio size yako.
kuwa makini usije ukabaka bwana mdogo
 
Jamani wazazi tuwafundishe wanetu elimu ya rika wasije kuwa goi goi baadaye...mvulana twenty years hajui manii na nyege ni vidubwana vya aina gani,yee kamwaza Zuhura usingizini kapiga kitu self ndani kwa ndani atatuletea hadithi za nyege hapa...chapa makofi!
 
Acha kuangalia picha za ngono wala hadidhi za mapenzi, muombe Mungu akusaidie umri huo unaweza kujifunza tabia ya ngono na kupata maambukizi ya STD.
 
Tatizo langu me ninapolala tu usiku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege sasa ila tendo me silipendi sasa nilikua naomba ushauri nifanye nini ili kisinitokee tena hicho kitu

Me mvulana 20

Me nasoma Tusiime High School na haturuhusiwi kwena na cm

Ebu toka humu nisikuone tena JF kwanza unatoa wapi muda wa kuandika haya wakati unamasomo mengi ya kujisomea.
Wakati huko darasa la saba mwalimu alipokua anafundisha mfumo wa uzazi ulikua wapi na form 3 mwalimu wa biology wakati anafundisha reproduction system ulikua wapi...?
Kwanza inavyoonekana unaangalia sana mitandao ya ngono ndio maana unashinda online badala ya kuconcentrate kwenye masomo.
Nenda hapo shuleni kwenu mtafute mwalimu wa malezi na umueleze tatizo lako na sio kuja huku tena...subiri umalize masomo ya A-level ndio huje JF mwisho leo....kaone huko..
 
Jamani wafundisheni vijana kiswahili sanifu.nyege ni hisia na haionekani na kinachokutoka ni manii.
 
Kamuulize mama yako atakupa jibu ,vivulana banaa
 
wewe unafanya nini huku baada ya kuwa shule ....
 
Back
Top Bottom