kutokwa na uchafu mweupe kama mtindi sehemu za siri

dos santos

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
256
Reaction score
128
habari,Ni nini sababu ya mwanamke kutokwa na uchafu mweupe sehemu za siri. Uchafu huo ni kama mtindi.Na unaambatana na muwasho sehemu za siri. Je tatizo ni nini na tiba yake ni nini? Msaada wataalamu
 
Mimi sio dokta ila hizo ni dalili za fangasi ,nenda hospital ukapatiwe dawa.
 
Pole..
Kama hayo majimaji HAYATOI HARUFU MBAYA..inawezekana ikawa ni fangasi hao. Usistuke sana maana huwa inatokea, inasababishwa na kubadilika pH ktk tumbo la uzazi.
Una umri gani? Nakushauri
Nenda zahanati yyte iliopo karibu
 
hyo inautwa shitinka,nenda hospital kwa uchunguzi.,maelezo hayatoshi bila mtaalamu kuona huo uchafu
 
Kumbe ndio maana kuna madokta bingwa kwa magonjwa ya wakina mama.....
 
habari,Ni nini sababu ya mwanamke kutokwa na uchafu mweupe sehemu za siri. Uchafu huo ni kama mtindi.Na unaambatana na muwasho sehemu za siri. Je tatizo ni nini na tiba yake ni nini? Msaada wataalamu
Tatizo la fangas hilo!
 
je kushiriki ngono na mtu mwenye tatizo hilo kunaweza kukuathiri?
Na mwanamke anaweza kuathirika zaidi kwa kuendelea kufanya ngono katika hali hiyo?
Na tatizo hilo husababishwa na nini? Nini kinga na Tiba yake?
 
Utakuwa una Jipu hiyo sehemu
 
Last edited by a moderator:
je kushiriki ngono na mtu mwenye tatizo hilo kunaweza kukuathiri?
Na mwanamke anaweza kuathirika zaidi kwa kuendelea kufanya ngono katika hali hiyo?
Na tatizo hilo husababishwa na nini? Nini kinga na Tiba yake?

POLE SANA NADHAN HOSPITAL NDO SURUHISHO..

SIPATI PICHA UKILITIA DUSHELELE LAKO HAPO. WALAI ALITATOKA SALAMA. NDO YALE MADUSHELELE YALOJAA UPELE KILA KONA YANI.. LAZIMA UKIONE CHA MOTO. HIZI MASHINE TUNAKOCHEPUKIA SI MCHEZO SALAMa...
 
Kumbe ndio maana kuna madokta bingwa kwa magonjwa ya wakina mama.....

Ndio na wengi wao ni Men na ni wazuri maana mwanaume hana kinyaa kwa papuchi ya mwanamke na husikia rahaa kweli ishu kama hizo zikija na ukifika huko awaridhiki utoke awajakuchungulia tena anakuweka kitanda spesho kipo hapo ofcn kwake anakutundika mguu m1 mash mwingine magh kisha anasogezea mwanga wa taa balb sijui watts 200 au zaidi anakumulika huku anakutia dole kumengenyua kuutoa huo uchafu sasa shoo hapo wengine wanakumengenyua kiuchokozichokozi huku anakusemesha tariiitiiiiiiibu na anakuangalia machoni unafill vp..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…