Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
habari,Ni nini sababu ya mwanamke kutokwa na uchafu mweupe sehemu za siri. Uchafu huo ni kama mtindi.Na unaambatana na muwasho sehemu za siri. Je tatizo ni nini na tiba yake ni nini? Msaada wataalamu
Tumia clotrimazole(anti fungal) maana mara nyingi ni Candida albicans huyo utokana na kujisafisha kupitilza ukeni na kwa sabuni mara nyingi (douching)
au anaweza kunywa ketoconazole/Metronidazole inaweza kuwa pia protoa infection(trichomonas vaginalis)
Yaani ukienda kwa daktari hata hajiulizi hatakupa hizo dawa na hatakuongezea na antibiotics may be kisha atakwambia usipopona ndani ya week rudi hapa....
Hata wale wa pharmacy watakupa hizi maana wanawake wengi uogopa kwenda hospitali kwa hali hii