kutokwa na uchafu mweupe kama mtindi sehemu za siri

habari,Ni nini sababu ya mwanamke kutokwa na uchafu mweupe sehemu za siri. Uchafu huo ni kama mtindi.Na unaambatana na muwasho sehemu za siri. Je tatizo ni nini na tiba yake ni nini? Msaada wataalamu

Tumia clotrimazole(anti fungal) maana mara nyingi ni Candida albicans huyo utokana na kujisafisha kupitilza ukeni na kwa sabuni mara nyingi (douching)

au anaweza kunywa ketoconazole/Metronidazole inaweza kuwa pia protoa infection(trichomonas vaginalis)


Yaani ukienda kwa daktari hata hajiulizi hatakupa hizo dawa na hatakuongezea na antibiotics may be kisha atakwambia usipopona ndani ya week rudi hapa....

Hata wale wa pharmacy watakupa hizi maana wanawake wengi uogopa kwenda hospitali kwa hali hii
 
njunwa wamavoko hapo umeshajeruhi mgonjwa, anywe clotrimazole v. pess au clotrimazole v. cream??? au ulitaka kumaanisha cotrimoxazole tab
 
Last edited by a moderator:
njunwa wamavoko hapo umeshajeruhi mgonjwa, anywe clotrimazole v. pess au clotrimazole v. cream??? au ulitaka kumaanisha cotrimoxazole tab

aM Sorry huku kwetu tumezoea kutumia dawa ni kunywa dawa hivo nime generalize ila nilitaka kumaanisha atumie Clotrimazole akienda hospital au pharmacy atapewa kimoja(cream/tab) na atashauriwa kinatumika vipi...
 
Duuuh mambo ya taaluma hayo.alafu utakuta dume linaingia chumvini michepuko hata halijui historia yake.
 
Yalaa, tayari hapa..."roho yaniumaje"

Btw, hilo neno lina maana gani kwenye haya maelezo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…