Kutokwa na vinyama sehemu za siri(ktk uume)

babamtarajiwa

Member
Joined
May 15, 2017
Posts
73
Reaction score
37
Habari poleni na majukumu, naamini humu kuna wataalamu mbalimbali ambao, kimsingi kwa namna moja au nyingine wanaweza nisaidia tatizo langu iko hivi.

Siku kadhaa hivi karibuni nimegundua ktk uume wangu nimetokwa/ kuna vinyama vimeota pembeni sasa sijajua vina sababishwa na nini naomba msaada wenu wenye ufahamu wa hili tatizo
 
Pole kaka...nakushauri nenda hospitali ...huu ushauri Wa kwenye mitandao wakati mtu sio docta na hajakuona physically sio mzuri

germve himself
 
Pole kaka...nakushauri nenda hospitali ...huu ushauri Wa kwenye mitandao wakati mtu sio docta na hajakuona physically sio mzuri

germve himself
Asante mkuu, nimefanya hivo kutoka kuwa naamin humu kuna wataalamu ila, nashukuru kwa uahauri wako
 
Mkuu kama sikosei izo zinaitwa genital warts niliwah kuzipata miaka mitano iliyopita nikiwa Arusha , nashukuru nilipata mtaalam akanipa dawa flan IPO kama penseli unagusisha kwenye ivyo vinyama vinakauka na kutoka inakuwa ndio umepona.

Ila ishu za huko ni complicated ni vyena ukarnda kwa specialists ukamuonyesha akakupatia tiba na kwa vitu vya aina hiyo isiwe bahili kabisa jaribu kwenda sehemu ambayo utapata huduma ya uhakika. Kama IPO Dar nenda Sanitas binafsi napaamin sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana, usicheleweshe tiba magonjwa ya huko bhana sio mazuri kuishi nayo kwa kipindi kirefu
 
Mr. Asante,
Nimekupata hiyo hospitali ipo wapi maana nipo dar maana vinanikosesha raha kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…