MulRZGM
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,015
- 747
Acha ushamba ww c umeitaj msaada? Weka pic sasa watu waone tatzo liko vp n msaada upewebro niweke picha tena mbona maelezo yanatosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushamba ww c umeitaj msaada? Weka pic sasa watu waone tatzo liko vp n msaada upewebro niweke picha tena mbona maelezo yanatosha kabisa
Acha tu niwe mshambaAcha ushamba ww c umeitaj msaada? Weka pic sasa watu waone tatzo liko vp n msaada upewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakubali hata mm natumia iyo iyo na natibiwa pale miaka minne sasa, na chai ya maziwa utakunywa Mkuu au kama wewe ni mpenz Wa Capsino IPO pale.Yeah bima ninayo bima ya NHIF wanaikubali?
Kwa hiyo unataka nianike nyeti zangu humu alafu nilihisi tu figisu kama hii itatokeaPicha ili tukusaidie
Hahaha.., bas sawa nitaenda hiyo Caspino ndo ipoje mkuuWanakubali hata mm natumia iyo iyo na natibiwa pale miaka minne sasa, na chai ya maziwa utakunywa Mkuu au kama wewe ni mpenz Wa Capsino IPO pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisamehe mkuu, ila stl bdo inaeleweka bt pic ingekua poa zaid n ckumaanisha ya maumbile yako... Ungeingia tu ata google kuchek tatzo ulilonalo then ungepata pic mle ili uiattach n post uloitoa.Acha tu niwe mshamba
Mkuu upo sawa ulitumia cáustic pensel hahaha huu ugonjwa utapma gono hakuna, kaswende hakuna dadekMkuu kama sikosei izo zinaitwa genital warts niliwah kuzipata miaka mitano iliyopita nikiwa Arusha , nashukuru nilipata mtaalam akanipa dawa flan IPO kama penseli unagusisha kwenye ivyo vinyama vinakauka na kutoka inakuwa ndio umepona . Ila ishu za huko ni complicated ni vyena ukarnda kwa specialists ukamuonyesha akakupatia tiba na kwa vitu vya aina hiyo isiwe bahili kabisa jaribu kwenda sehemu ambayo utapata huduma ya uhakika. Kama IPO Dar nenda Sanitas binafsi napaamin sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna shida hapo nimekuelewa mkuuNisamehe mkuu, ila stl bdo inaeleweka bt pic ingekua poa zaid n ckumaanisha ya maumbile yako... Ungeingia tu ata google kuchek tatzo ulilonalo then ungepata pic mle ili uiattach n post uloitoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cjaelewa hapo mkuu kwenye chai yan n sehemu ya tiba auWanakubali hata mm natumia iyo iyo na natibiwa pale miaka minne sasa, na chai ya maziwa utakunywa Mkuu au kama wewe ni mpenz Wa Capsino IPO pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio tiba ila uwapo pale unaposubiri hili au lile unajihudumia aina ya chai unayohitaj au MAJI free.
Mkuu tiba zao hao gharama zipo vipi?Hapana sio tiba ila uwapo pale unaposubiri hili au lile unajihudumia aina ya chai unayohitaj au MAJI free.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui sana kuhusu gharama ila naonaga kwenye jaratasi za bima kama nimeenda na wife na mtoto inakuwa less than 150000Mkuu tiba zao hao gharama zipo vipi?
Hapana sio tiba ila uwapo pale unaposubiri hili au lile unajihudumia aina ya chai unayohitaj au MAJI free.
Sent using Jamii Forums mobile app