Kutolewa kwa barua za udahili, UDSM Mlimani Campus

Johalem

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
118
Reaction score
14
Wizara ya mambo ya nje, habari na mawasiliano (DARUSO) inapenda kuwataarifu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam 2014/2015 (Mlimani Campus) kuwa admission letter zitaanza kutolewa tar 29/09/2014 chuoni hapo. Mwanafunzi afike na kitambulisho chochote kinachotambulika kiserikali. Aidha kwa waliopo mbali waendelee kusubiri mpaka tarehe ya kufungua chuo. Hakuna atakaye ruhusiwa kuchukua barua ya mwenzake.
NB. Kwa wale wa DUCE na MUCE barua watazikuta chuon walikopangiwa kuanzia tar 1/10/2014.
Kwa maelezo zaidi piga 0753871799 / 0752122020 / 0719120001
 
bora mmewatoa tongotongo. kuna mdogo alikua ameshaniambia nimchukulie admission letter, eti ataikuta kwangu!
 
Back
Top Bottom