Johalem
Senior Member
- Sep 24, 2013
- 118
- 14
Wizara ya mambo ya nje, habari na mawasiliano (DARUSO) inapenda kuwataarifu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam 2014/2015 (Mlimani Campus) kuwa admission letter zitaanza kutolewa tar 29/09/2014 chuoni hapo. Mwanafunzi afike na kitambulisho chochote kinachotambulika kiserikali. Aidha kwa waliopo mbali waendelee kusubiri mpaka tarehe ya kufungua chuo. Hakuna atakaye ruhusiwa kuchukua barua ya mwenzake.
NB. Kwa wale wa DUCE na MUCE barua watazikuta chuon walikopangiwa kuanzia tar 1/10/2014.
Kwa maelezo zaidi piga 0753871799 / 0752122020 / 0719120001
NB. Kwa wale wa DUCE na MUCE barua watazikuta chuon walikopangiwa kuanzia tar 1/10/2014.
Kwa maelezo zaidi piga 0753871799 / 0752122020 / 0719120001