Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao!
Kufuzu makundi klabu bingwa kanuni iyo iyo ndio iliyowabeba na kuwanusuru wasitupwe nje ya michuano dhidi ya timu dhaifu power dynamo Leo hii wanajifariji kweli kuwa wameupiga mwingi wakati wachezaji wote waligeuka mabeki?
Kuna baadhi ya mbumbumbu wanamsifia Robertinho kuwa ni kocha aswaa lakini uyo bwana ajashinda ata mechi moja ya kimataifa mpaka Sasa iwe nyumbani ama ugenini uku akinusurika kutupwa nje na power dynamo!
Kocha Bora anayesifiwa ameshindwa kufanya mabadiliko ya kiufundi angalau kulinda goli lake moja alilokuwa anaongoza likarudi ndani ya dakika 5!
Na goli lile moja alikupatikana kwa mipango Bali ni mpira uliombabatiza baleke kichwani ukampoteza kipa mwelekeo zaidi ya hapo kocha akuwa na plan yoyote ya maana kushinda mechi husika!
Akunaga kombe la Kufa KIUME duniani ni utaahira tu wa baadhi ya mashabiki kujiliwaza for nothing, wenzako wanasonga mbele wewe unaishia hapo hapo Kila mwaka alafu unasema" tumejitahidi" TUMEKUFA KIUME"
Robertinho Kama sio makosa ya kibinadamu ya waamuzi wakina Tatu malogo ata uku kwenye LIGI angekuwa nafasi ya tatu!
Kwa maana hiyo simbwa mmetolewa na kutupwa nje ya michuano kutokana na ubovu wenu kanuni ni kama kifungashio tu cha kuwasukimiza zaidi nje na sio vinginevyo! Timu Bora ndiyo iliyofuzu!