GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Wengi waliwapa Ureno kufanya vizuri kutokana na kuwa na wachezaji ambao walikuwa na misimu mizuri kwenye ligi zao.
Nuno mendes, Vitihna, Gomes, Bruno, Ruben Dias.
Lakini matokeo yake uamekuja tofauti na matarajio ya wengi sababu kwangu ni hizi.
1. Kocha mbovu.
huyu kocha unaweza kujiuliza inakuwaje anapewa nafasi ya kufundisha timu kubwa hizi.
Hana historia uoyote nzuri.
Kafundisha timu kama Swansea, Wigan na Everton.
Mafanikio yake ni kuchukua FA Cup huko England.
Mwaka 2016 akapewa kizazi cha dhahabu kile cha wakina Hazard, Debruyne, Vicenty Kompany, Jan Vertonghen na Toby Alderweired, Lukaku, Witsel, Fellain, Dembele n.k
Hiki kizazi hakikuchukua hata Euro.
Huyu kocha alikuwa hajui nini anafanya.
Mara Wareno nao wakampa timu.
Matekeo yake ni kucheza mpira haueleweki.
Timu iko slow kutengeneza mashambulizi.
2. Wachezaji wengi wakubwa hawajaonyesha viwango vyao tunavyovijua.
Watu kama Nuno Mendes l, Bruno, Vitihna wameshindwa kabisa kufurukuta.
Na inaweza kuwa ni sababunya kuwa na kocha mbovu.
3. Ureno mechi zote wamecheza wakiwa pungufu.
wAlikuwa na namba tisa wa ovyo sana.
Nimemaliza.
Sababu ya 3 iweke No.1. Timu ilicheza pungufu tangu dakika ya 1 - 90+.Wengi waliwapa Ureno kufanya vizuri kutokana na kuwa na wachezaji ambao walikuwa na misimu mizuri kwenye ligi zao.
Nuno mendes, Vitihna, Gomes, Bruno, Ruben Dias.
Lakini matokeo yake uamekuja tofauti na matarajio ya wengi sababu kwangu ni hizi.
1. Kocha mbovu.
huyu kocha unaweza kujiuliza inakuwaje anapewa nafasi ya kufundisha timu kubwa hizi.
Hana historia uoyote nzuri.
Kafundisha timu kama Swansea, Wigan na Everton.
Mafanikio yake ni kuchukua FA Cup huko England.
Mwaka 2016 akapewa kizazi cha dhahabu kile cha wakina Hazard, Debruyne, Vicenty Kompany, Jan Vertonghen na Toby Alderweired, Lukaku, Witsel, Fellain, Dembele n.k
Hiki kizazi hakikuchukua hata Euro.
Huyu kocha alikuwa hajui nini anafanya.
Mara Wareno nao wakampa timu.
Matekeo yake ni kucheza mpira haueleweki.
Timu iko slow kutengeneza mashambulizi.
2. Wachezaji wengi wakubwa hawajaonyesha viwango vyao tunavyovijua.
Watu kama Nuno Mendes l, Bruno, Vitihna wameshindwa kabisa kufurukuta.
Na inaweza kuwa ni sababunya kuwa na kocha mbovu.
3. Ureno mechi zote wamecheza wakiwa pungufu.
wAlikuwa na namba tisa wa ovyo sana.
Nimemaliza.
Inaruhusiwa kuchambua kabla na Baada.H mada ungeileta kabla mashindano hayajaanza, h kila mtu anaweza kusema mana tyr wametolewa.
Hata Argentina wakitolewa mtakuja na ngonjera kama hizi
Nyie ndio wachambuzi wa Bongo, mnachambua matukio yaliokwisha kutokea 😂
Sasa ili uonekane unajua ungeleta kabla, h ya baada ndo ramli yenyeweInaruhusiwa kuchambua kabla na Baada.
Mimi nimechagua Baada, sababu hayo mambo matatu nimeyashuhudia yote.
Na sikutaka kuwa mpiga ramli.
Nimejizuia sana kutoiweka namba moja.Sababu ya 3 iweke No.1. Timu ilicheza pungufu tangu dakika ya 1 - 90+.
Wachambuzi uchwara hawa ,ukiwasikiliza unaweza kusema bongo wanalijua boliH mada ungeileta kabla mashindano hayajaanza, h kila mtu anaweza kusema mana tyr wametolewa.
Hata Argentina wakitolewa mtakuja na ngonjera kama hizi
Nyie ndio wachambuzi wa Bongo, mnachambua matukio yaliokwisha kutokea 😂
Wengi waliwapa Ureno kufanya vizuri kutokana na kuwa na wachezaji ambao walikuwa na misimu mizuri kwenye ligi zao.
Nuno mendes, Vitihna, Gomes, Bruno, Ruben Dias.
Lakini matokeo yake uamekuja tofauti na matarajio ya wengi sababu kwangu ni hizi.
1. Kocha mbovu.
huyu kocha unaweza kujiuliza inakuwaje anapewa nafasi ya kufundisha timu kubwa hizi.
Hana historia uoyote nzuri.
Kafundisha timu kama Swansea, Wigan na Everton.
Mafanikio yake ni kuchukua FA Cup huko England.
Mwaka 2016 akapewa kizazi cha dhahabu kile cha wakina Hazard, Debruyne, Vicenty Kompany, Jan Vertonghen na Toby Alderweired, Lukaku, Witsel, Fellain, Dembele n.k
Hiki kizazi hakikuchukua hata Euro.
Huyu kocha alikuwa hajui nini anafanya.
Mara Wareno nao wakampa timu.
Matekeo yake ni kucheza mpira haueleweki.
Timu iko slow kutengeneza mashambulizi.
2. Wachezaji wengi wakubwa hawajaonyesha viwango vyao tunavyovijua.
Watu kama Nuno Mendes l, Bruno, Vitihna wameshindwa kabisa kufurukuta.
Na inaweza kuwa ni sababunya kuwa na kocha mbovu.
3. Ureno mechi zote wamecheza wakiwa pungufu.
wAlikuwa na namba tisa wa ovyo sana.
Nimemaliza.
Utasikia, ule mpira alitakiwa kupigwa hv na sio kule, hapo n baada ya mpira kupigwa kutokuzaa matunda 😂Wachambuzi uchwara hawa ,ukiwasikiliza unaweza kusema bongo wanalijua boli
Wamarekani tunamuita Crying Goat. Mbuzi mlizi
yani pale vetinya angetakiwa atoe pasi , au apige kwa v shape🤣, ule mpira alitakiwa kupigwa hv na sio kule, hapo n baada ya mpira kupigwa kutokuzaa matunda 😂
Yule Roberto Martinez kuna kocha pale?Wachambuzi uchwara hawa ,ukiwasikiliza unaweza kusema bongo wanalijua boli
Tz n mwendo wa utapeli tuu 😂yani pale vetinya angetakiwa atoe pasi , au apige kwa v shape🤣
Nionyeshe uliposema hv kabla mashindano hayajaanzaYule Roberto Martinez kuna kocha pale?
Au CR7 unaona bado alifaa kuanza kikosi cha kwanza.?
Wakipewa boli wanaruka ruka kama ndamaTz n mwendo wa utapeli tuu 😂
Kwa sababu sikusema kabla ya mashindano kwahiyo ni kubali Roberto Martinez ni kocha mzuri au CR7 anafaa kuanza kikosi cha kwanza.?Nionyeshe uliposema hv kabla mashindano hayajaanza