holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Tu assume Mimi ni ignorant wa Quran siijui sawa NIMEKUBALI.Umeandika mengi kuonyesha Kwamba Qur'an imekosea, kwa bahati mbaya badala ya ku disprove Qur'an umedhihirisha tu ujinga juu ya Qur'an (means huijui ila umekariri articles ukaona ndiyo ushajua Qur'an tayari)
Kwa mfano hapo juu unadai kwamba Qur'an inasema "Earth has been spread out like a carpet"
Ipo hivi, Kiswahili ni lugha ambayo imechukua baadhi ya maneno ya kiarabu, na miongoni mwa maneno hayo ni neno "Ardhi"
Sasa, kwenye hiyo Aya limetumika neno la kiarabu ARDHI" Kwamba ardhi imetandazwa kama carpet...
Sasa nikuulize, ardhi haijatandazwa kama carpet?!,
Kwenye English sometimes Ardhi inakua referred as to Earth (Dunia), na hiyo ndiyo iliyokupeleka chaka.... Lakini kwenye kiarabu "DUNIA" na "ARDHI" ni vitu viwili tofauti kama ilivyo kwenye kiswahili...
NB: Sidhani kama ikiwa kitabu ni cha uongo, itabidi utunge tena uongo dhidi yake,... Bali utatumia uongo ambao tayari umeugundua ku disprove kitabu hicho, so mpaka hapo usha prove failure
Kama alimaanisha Ardhi (Earth's crust) bado hayuko sahihi haijatandazwa kama carpet. Pata knowledge ya plate tectonics kwanza utaelewa kosa hapo.
Haya kabla hatujaendelea na yale maandiko mengine mawili yaliyobaki pale nielekeze huenda nimepotezwa na tafsiri.
Ukimaliza hapo nitaleta na maandiko mengine tuendelee. Usiwe na wasiwasi kuleta quotation za Arabic pia.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app