Kutomuamini Mungu ni ujasiri?



Usishangae, inaweza kuwa ni Neema kumjua Mungu, umepewa huo ufaham bure, waombee!!!!
 
Je, vipi kuhusiana na Miujiza na athari ya nguvu yake katika maisha yako ya kila siku, mfano mambo ya riziki, maradhi, uhai, kifo etc?
Hayo mambo uliyotaja watu hajachagui. Uwe na imani ama usiwe nayo utakumbana nayo tu.

Na ukifanya uchumguzi vizuri utagundua kwamba wengi wanaojiita walokole hayo mambo yanawatesa zaidi.
Umasikini umewaandama, maradhi ndo usiseme. Kifo kipo kwa kila mtu.

Mungu kama kweli yupo acha ajitetee mwenyewe, wasioamini kama.yupo waache kama walivyo maana hata wao wanakushangaa unavyoamini kama Mungu yupo.
 
Mimi pia najiulizaga hivi watu wanaosema wana amini Mungu na kudai wameshuhudia miujiza wanakuwaga serious kweli or they just fooling around?
Means hujawah kuamin kbsa uwepo wake mkuu??

Kvp ebu nipe hoja 5 tu.
 
Zaburi 53:1, inasema MPUMBAVU usema moyoni hakuna MUNGU, Kwa hiyo usiangaike nao hao ni wapumbavu tu kama wapumbavu wengine.
Kila kitu kipo wazi ila bado kuna mafuvu ni magum[emoji23][emoji23][emoji23]
 
acha uwongo basi,binadamu wa toleo la kwanza cain alikua anaongea hadi na mungu(bible)lakini alimuua ndugu yake,je nayeye hajui kama mungu yupo?Utu wake uko wapi?
 
Mkuu una uchungu kinoma [emoji23][emoji23]

Una wasiwasi moyoni na kutojiamini, mm siathiriki na chochte coz kila mti atahukumiwa kulingana na matendo yake.

[emoji23][emoji23][emoji23] Plz usipanic hii co vita kaka n fikra tu, njoo na hoja basi nami unielimishe labda mm ndo napotea na wew uko sahihi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu una uchungu kinoma [emoji23][emoji23]

Una wasiwasi moyoni na kutojiamini, mm siathiriki na chochte coz kila mti atahukumiwa kulingana na matendo yake.

[emoji23][emoji23][emoji23] Plz usipanic hii co vita kaka n fikra tu, njoo na hoja basi nami unielimishe labda mm ndo napotea na wew uko sahihi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu
Njia za Mungu si za mwanadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Power kubwa iliyoumba ulimwengu na kuvipa uhai vyote vilivyo hai,lakini sio hiyo miungu ya kwenye vitabu vyenu,hiyo ni miungu mliyojitengenezea kwa malengo na matakwa yenu ya upumbafu na ujinga.
Je, ni POWER ipi hyo mkuu. Tueleze hakuna mwanadamu ajuaye yte[emoji3578]
 
Je, sisi asili yetu ni ipi ??
 
Crusades (1050 - 1300), Inquisition (12th to 13th century), ISIS, Al-Shabaab, Boko Haram, Wakatoliki na Waprotstanti wa Northern Ireland, Wahindu na Waislamu wa India. Hao wote wamefanya unyama wa ajabu dhidi ya binadamu kwa kutumia jina la Mungu.
Viongozi wa hizo Dini na waumini Wao, wanalijiua Hilo , Ila wanajitoa ufahamu, eti ilikuwa ni Kazi ya kidini , dini Gani inahalalisha mauwaji Kwa binadamu wenzake
 
Mara zote ukimuamini MUNGU unakuwa huru, unajiamini na unakaa mbali na aina zote za uasi.

Katika udhoefu wangu wa watu wasiomuamin Mungu wengi wana mashaka mioyoni mwao na hawaogopi uasi wowte ule.

#Lastly, OLE WAKO uzungumzie mambo ya kufakufa mbele yao. Aisee wanakuwa waoga kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…