True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
- Thread starter
- #81
Thus why,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thus why,
Ajabu!Kitendo cha shetani kuwepo duniani, inadhihirisha Mungu hayupo. Au kama yupo hana uwezo wa kutosha. Hivi kuamini katika kitu ambacho hujawahi kukiona ni uungwana?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hiyo power ni ipiKuna Power kubwa iliyoumba ulimwengu na kuvipa uhai vyote vilivyo hai,lakini sio hiyo miungu ya kwenye vitabu vyenu,hiyo ni miungu mliyojitengenezea kwa malengo na matakwa yenu ya upumbafu na ujinga.
Naam kiongozi True Believer hata na mimi sentensi yangu nimeiweka kwenye mfumo wa swali ili nipate kukumbishiwa vizuri, kwani Mwl alitoa maneno mazuriNaomba nikumbushe mkuu, alinena yepi
Kutoamini Mungu ni ujasiri wa kijinga, tuchukulie mfano tu wa kiakili wa kibinadamu, mwanadamu anapozaliwa ni kiumbe dhaifu sana lakini anakuwa amekingwa vizuri toka mimba yake inapoingia katika mwili wa mama yake, anazaliwa amepangika vizuri mwili wake, ana mwili wenye kichwa, kifua, tumbo, mikono na miguu, kichwa chenye nywele macho, pua mdomo na masikio, mikono yenye vidole na miguu yenye vidole kamili, kutokana na udhaifu wake anahitaji usaidizi wa wazazi wake kwa kipindi chote anapokuwa hana uwezo wa kujihudumia kutokana na mwili wake hauna nguvu za kujimudu na pia akili yake haiwezi kutambua vizuri kwa kuwa haijapevuka katika kung'amua zuri na baya. Anazoeshwa kusema na kupewa maarifa mbalimbali ambayo yatakuyomuezesha kuishi kwa usalama wake na wa wengine pamoja na mazingira yake na kuweza kujikimu ili apate naye kuwa binadamu bora atakayeweza kuendeleza mazuri atakayofunzwa na kukemea maovu atakayojifunza na kuongeza binadamu wengine kwa njia sahihi iliyokubaliwa na jamii husika, mwishowe uhai wake unakwisha bila ya yeye kujua lini ataumaliza uhai huo. Huu ni mfano mdogo sana wa kujua kuwa kuna nguvu inayoyafanya haya yote yatendeke, je ni nani ambaye anayeyafanya haya yote yafanyike? Na tunajua kuwa kuna mambo mengine yanatokea kinyume na nidhamu tuliyoizoea. Hivi haya yote yanatokea kwa bahati mbaya?Habarini wakuu,
Unajua Dunia imejaa mengi sana, yakustaajabisha na kusikitisha pia. Binafsi nilikuwa nahitaji kujua hivi mtu au watu wasioamini uwepo wa MUNGU huwaga wapo serious au ni jokes tu?
Kuna mda hadi naogopa, ujasiri wa kukataa hakuna Mungu huwa mtu unautoa wapi?
Je, vipi kuhusiana na Miujiza na athari ya nguvu yake katika maisha yako ya kila siku, mfano mambo ya riziki, maradhi, uhai, kifo etc?
Kuna vitu vya kuviletea UTANI ila sio uwepo wa MUNGU, Kama hauamini uwepo wake basi ni vyema kuwa silent ila sio KUPOTOSHA yakuwa hayupo.
Hivi ujasiri wa kusema MUNGU hayupo mtu unakuwa nao vipi au sisi wengine TUNAE MUAMINI ni waoga?
God muumbaji na mungu aliyeumbwaHuyo God ana tofauti gani na hao Gods?
Umbile la mwanadamu haliwezi kudiriki kumuona Mungu. Ndiyo maana Hata mtume Musa alipotaka kumuona Mungu alishindwa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Vp kuhusu PART TWO YAKE??
JE, ni kweli alivua hyo helmet??
Tukae palee... Tsubr[emoji28][emoji28]Naam kiongozi True Believer hata na mimi sentensi yangu nimeiweka kwenye mfumo wa swali ili nipate kukumbishiwa vizuri, kwani Mwl alitoa maneno mazuri
Naunaga mkono hoja, atakaeweza muona mung kabla hajaonja umati n lazma afe.Umbile la mwanadamu haliwezi kudiriki kumuona Mungu. Ndiyo maana Hata mtume Musa alipotaka kumuona Mungu alishindwa.
Mkuu mimi naunga mkono hoja, chini ya vyote vilivyo hai na vilivyokufa kuna force nyuma ya vyote ambayo n MUNGU.Kutoamini Mungu ni ujasiri wa kijinga, tuchukulie mfano tu wa kiakili wa kibinadamu, mwanadamu anapozaliwa ni kiumbe dhaifu sana lakini anakuwa amekingwa vizuri toka mimba yake inapoingia katika mwili wa mama yake, anazaliwa amepangika vizuri mwili wake, ana mwili wenye kichwa, kifua, tumbo, mikono na miguu, kichwa chenye nywele macho, pua mdomo na masikio, mikono yenye vidole na miguu yenye vidole kamili, kutokana na udhaifu wake anahitaji usaidizi wa wazazi wake kwa kipindi chote anapokuwa hana uwezo wa kujihudumia kutokana na mwili wake hauna nguvu za kujimudu na pia akili yake haiwezi kutambua vizuri kwa kuwa haijapevuka katika kung'amua zuri na baya. Anazoeshwa kusema na kupewa maarifa mbalimbali ambayo yatakuyomuezesha kuishi kwa usalama wake na wa wengine pamoja na mazingira yake na kuweza kujikimu ili apate naye kuwa binadamu bora atakayeweza kuendeleza mazuri atakayofunzwa na kukemea maovu atakayojifunza na kuongeza binadamu wengine kwa njia sahihi iliyokubaliwa na jamii husika, mwishowe uhai wake unakwisha bila ya yeye kujua lini ataumaliza uhai huo. Huu ni mfano mdogo sana wa kujua kuwa kuna nguvu inayoyafanya haya yote yatendeke, je ni nani ambaye anayeyafanya haya yote yafanyike? Na tunajua kuwa kuna mambo mengine yanatokea kinyume na nidhamu tuliyoizoea. Hivi haya yote yanatokea kwa bahati mbaya?
Ndiyo maana akili iliyo salama inatambua kuwa kuna Muumba wa viumbe na mwenye kuendesha mambo ya ulimwengu wetu huu yupo. Watu wengi wenye kupinga uwepo wa Mungu ni wahanga wa kukumbwa na matatizo ambayo walikosa suluhisho baada ya kumuomba Mungu na kutotatuliwa shida zao, au kuona watu wanawaomba miungu tofauti tofauti na wengine kujiona Mungu wao ndiyo wa kweli na mwenye nguvu kuliko miungu mingine, hivyo kufanya watu wengine waone kuwa swala la Mungu ni lenye mgongano. Lakini GT ni yule atakayedadisi hiyo miungu je kweli wana sifa za kuwa uwezo mkuu wenye kuweza na usiyowezwa? Kwani sayansi haipingi uwepo wa Mungu bali inapinga aina ya miungu.
Uchungu wa nini sasa we dogo ni mpumbavu ? Unacheka cheka kama malayaMkuu una uchungu kinoma [emoji23][emoji23]
Una wasiwasi moyoni na kutojiamini, mm siathiriki na chochte coz kila mti atahukumiwa kulingana na matendo yake.
[emoji23][emoji23][emoji23] Plz usipanic hii co vita kaka n fikra tu, njoo na hoja basi nami unielimishe labda mm ndo napotea na wew uko sahihi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutukuna ni ukosefu wa busara, it show how stupid u a.Uchungu wa nini sasa we dogo ni mpumbavu ? Unacheka cheka kama malaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchungu wa nini sasa we dogo ni mpumbavu ? Unacheka cheka kama malaya
Nishawahi kuaminiMeans hujawah kuamin kbsa uwepo wake mkuu??
Kvp ebu nipe hoja 5 tu.
Kwamba unaweza kumuelezea Mungu bila muujizaNijuavyo mimi hakuna uhusiano kati ya Mungu na miujiza hiyo ni misconception ya wasiolewa dhana nzima ya Uungu wa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake ukiwa unamuelezea Mungu, uumbaji hautakuwa sehemu ya maelezo yako?
Yah ni kweli uyanenayo na kiukweli yamekaa kimila zaidi, siwezi kukubishia coz ni ya kimila.Nishawahi kuamini
Kwani we hujawahi kuamini stori yeyote ya uongo?
Hujawahi kuamini kuwa kufagia usiku ni kuita majini?
Hujawahi kuamini kuwa ukimcheka kilema nawewe utazaa mtoto kilema?