Kutongoza ana kwa ana Vs kutongoza kwa simu

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Yaani kuna wale ambao tunampendaga msichana/mvulana mpaka tupate namba ya simu.

Mkishachat ndo umwambie ukweli.

Yaani sometimes wapo ambao wako funny and romantic kwenye phone conversations lakini ukiwambia wa anze kuapproach girl Ana kwa Ana wanashindwa cha kusema kabisa.

Mi naona phone inarahisisha mahusiano kuanza nowdays

Alafu kwenye phone Una flow easily hata akikataa huoni aibu

Ila ana kwa ana unaona mchoro kiukweli.?

Wengine wanakuambia wao ni wakali wa mavocal ya ana kwa Ana hawaoni ugumu wowote ule.

Wazee wa no kupoteza muda
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…