Kutongoza kizamani kwenye dunia ya leo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii copy pasting.....

Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume 30 tena mtaa mmoja naona hilo bati litakuwa kama kuna mdundiko
 
Mkuu ni kwasababu ya mambo ya digital sikuhizi yamerahisisha mawasiliano, pia yamefanya siri zijulikane, enzi zile ukitoka kazini unaniambia ninakwenda nyumbani, hiyo ndiyo ishara, nikija kwako tunamalizana ninatoka, sasa sikuhizi namba ya MK254 kwenye mobile, nikiulizwa ooh work mate? Mhh😳😳
 

Hehehe!! Jamani enzi zile, pia nakumbuka ilikua ikitokea unajua siku demu wako watafunga shule kule boarding, kwa ukosefu wa mawasiliano ya kidigitali, inabidi uende stendi za mabasi yakutokea mkoa aliko, halafu kila basi linalofika inabidi usubiri mlangoni na kuangalia kama baby wako atashuka. Ole wako ikitokea wameahirisha kwamba shule haitafungwa hiyo siku, utabaki hapo mchana kutwa ukila timing ya mabasi yote na kuambulia.

Lakini kwa tabu zote hizi, ilikua ukifaulu kumkamata na kumuingiza gheto, aki ya nani atalipia hayo mahangaiko yote, unampa shughuli hadi anakoma maana hujui lini tena utafaulu kupata huo mlo. Unataafuna kwa pupa.

Vijana wa siku hizi wa kidigitali wanafaa kushukuru huu mfumo wa simu za mikononi, eti anachagua demu yupi wa kumuita aje, yaani kwa kubonyeza bonyeza simu.
 
siku hiz hamna mambo ya kutongozana, wallet ndio kila kitu, wallet yako ikiwa inaeleweka basi utapiga show kila siku kuanzia J3 mpaka J2 na dem wa kila namna utampata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…