Kutongoza ni sanaa;Je umeitendea haki sanaa hii

Kutongoza ni sanaa;Je umeitendea haki sanaa hii

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari zenu wana jukwaa hili pendwa kuliko yote kwa hapa jf.
Niende kwenye mada.Sanaa ni nini~Sanaa ni ufundi anao utumia mwanadamu ili kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili yake.Au Uzuri unaojiibuwa katika umbo lililosanifiwa.
Kwa mantiki hiyo utagunduwa kuwa kutongoza ni aina ya sanaa ambayo mwanadamu huitumia kueleza fikra na hisia zake.
Kama zilivyo aina nyingine ya sanaa kutongoza lazima kuwe na fanani na hadhira.Fanani ni msanii/mshereheshaji na hadhira ni mshereheshwaji.Hivyo unapotongoza lazima uzingatie kuwa ili kazi yako ipokelewe lazima uwe mbunifu na hodari.
Ili fanani aweze kuvuta hadhira kubwa lazima fanani awe na creativity/mbunifu.Sio kutumia maneno,ujanja,mbinu zile zile kila siku(hutakiwi kutabilika) na hadhira.
Unapojaribu kumshawishi hadhira ili uweze kumweleza yaliyo moyoni mwako huna budi kutumia maneno yenye busara na hekima.Hapa ndipo kosa linapoanza kufanyika kwa baadhi ya fanani(wanaume) hutumia maneno ya kuudhi kwa hadhira(wanaweke).Mfano wa maneno hayo ni”shiiiishiiii”,oya “we mchaluko”,Oyaaah”Baby” n.k.Hivyo hadhira huona kama kazaraulikia hivyo awezi kupoteza muda kukusikiliza.
Kuna baadhi ya sehemu kwa fanani hodari na anae jali sanaa yake lazima azingatie.Sehemu hizo ni mwanzo,Kati na mwisho wa uwasilishaji wa fikra hizo.

Kuna baadhi ya wanaume kwa kushindwa kuijua hii sanaa huishia kuhonga na kununuwa makahaba.Kwa kuwa haitumii akili kuwa winn watu sampul hii.
For my side;Napenda sana kutongoza kwasababu ndio Sanaa ninayoipenda hivyo natongoza mara kwa mara ili kujiongezea uwezo na kuwa mbunifu zaidi.Si kila mwanamke ninaye mtongoza lazima nita mchapa dushe no ila najiongezea uwezo na kuwa imara zaidi.Ili Sanaa hii uwe fanani mzuri lazima ufanye mazoezi ya mara kwa mara.
Je wewe kama fanani au hadhira Sanaa hii umeitendea haki kwa kiwango gani.Unatumia Mbinu gani kujiomarisha,
Je wewe kama hadhira unadhani watongozaji/fanani waongeze nini ili waweze kuvutia zaidi.
Karibuni.....
NB.Majaribio yanaruhusiwa unaweza kuchaguwa fanani au hadhira wako mkaanza mtongozo live
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aisee mzee baba mimi ninatongoza mpaka mtongozwaji analia mpaka anatokwa na kamasi.
 
Back
Top Bottom