Kutongoza raha jamani...

Kutongoza raha jamani...

Nakumbuka kipindi nilivyokuwa 'kijana'.... dah!

Ingekuwa ndo sasa hivi kina dada wote humu mngekomaje!...

Kutongoza ni kipaji

Kuna makuhadi pia
 
kujilipua ndio mpango mzima tutawapataje wenza wetu sasa? mie niko kwenye mchakato nikipendezwa tu najifunga mabomu najilipua inshallah ntampata tu ........
unaweza kujifunga kibwebwe stil kibuti kikatembea
 
Waswahili tunasema " UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA" so wadada mnaojitamba kuwa mnawalia watu vizawadi kuweni makini, Wanaume tuna tabia ya kujifanya mafala sometimes,, Mtu anaweza akakuhonga leo lakini kwa ajili ya kuweka boya then mzigo akaja kuulla miaka hata mitano mbele,,

Wadau wana tabia ya kuwarudia madem waliojifanya wajanja kiasi kwamba hata kama akijijua yeye Utamtosa atamtumia hata Rafiki yake aje Indirect then Umpende na mwisho wa siku akulize kama ulivyomliza jamaa yake,, so wadada jisifieni tu but "There is no such things as a free lunch"
 
unaweza kujifunga kibwebwe stil kibuti kikatembea

mkuu mbona hivyo vibuti navichezea sana maana ukikaa tu hawajii na umri wenye unasogea. Hii ni hard practice lakini inabidi ili umpate mwenza wako
 
kutongoza sio raha bwana raha tendo lenyewe ahhhh
 
Watuwengine bana, wanahitaji maombi.
 
duhhhh mi nishapewa vya mbavu hadi nimekoma kuwafuata ao watoto wa kike we ndo unapenda !!!!
 
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!

Mkuu malizia basi, nini kilifuata baada ya wewe kuondoka ukizingatia ulishamnunulia vitu?
 
Back
Top Bottom