Kutongoza raha jamani...


Kina dada hiyo bolded red hapo juu ni kweli kabisaaa! Mkuu hapo umemaliza, na uzoefu unaonyesha kadiri anavyojidai hataki na mwishowe akataka baada ya muda mrefu huwa ni maumivu makali kwa sababu kwa muda huo mrefu wanawake huwa mnajenga mapenzi ya kweli wakati mwanaume anakuwa ameshakutoa moyoni, sana sana anataka tu ulipe gharama zake.

My take: Kama humtaki mwanaume ni vyema ukaacha kula mali zake pia, vinginevyo ndo haya mambo unakuta mtu kafia gest, au mtu anakwambia wanaume wote wanafanana. Hivi unamsumbua miaka mitano, kweli unaamini huyo mtu atakuwa hana mtu kweli kina dada, acheni hizoooooooooooo!
 
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!

Naunga mkono hoja, unamwagiwa sifa kibao, ooh you are so special, special wapi..... zako tu zinakusumbua.
 
He! Yaani ndio hivyo!!
 
Aisee kumbe nyinyi ndio mliokuwa mkituzibia wenzenu, yaani mavitu yote hayo? Kweli Uporoto ulikuwa mkareee!
 

duh! Mpenzi poleeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…