Kutongoza

kelvin94

Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8
Reaction score
11
Hiv inakuaje mtu kwenye simu unaweza kutongiza demu lakini ukiwa nae live unakosa cha kuongea
Msaada plz!!!
 
utakuwa na nyota ya kuhonga ww.
 
zama za kutongoza zimeisha siku hizi mnambiana tu ukweli bila kificho
 
Kwani unatongoza ukitaka nini ? Ndiyo mana unakuwa na kigugumizi kwa sababu kutongoza ilikuwa enzi za utoto wangu. Siku izi nazungumza na vidada kuwa ninahamu ya kum duduzi yeye mwenyewe anajuwa nini kina endelea.. Una umri gani wewe Mtoto?
 
Jf tumewaingilia lakini msijali tarehe 11 tutaondoka
 
Acha utoto wewe , ngoja nikufundishe Mimi mzoefu, unamwambia demu mkutane Lodge mkazungumze yeye anakua ameelewa then unakula papuchi , angalizo kama wewe student rudi shule kasom e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…