Cesar
Senior Member
- Apr 21, 2016
- 143
- 147
Kijana balehe inakutesaHiv inakuaje mtu kwenye simu unaweza kutongiza demu lakini ukiwa nae live unakosa cha kuongea
Msaada plz!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana balehe inakutesaHiv inakuaje mtu kwenye simu unaweza kutongiza demu lakini ukiwa nae live unakosa cha kuongea
Msaada plz!!!
Chemsha majani ya kunde kunywa maji yake!Unaponaje degedege hilo
Master mfundishe huyo! He must be a Seminary bway!Unashindwa vipi..Unaona aibu??..
Huo ukweli ndio unaomshinda!zama za kutongoza zimeisha siku hizi mnambiana tu ukweli bila kificho
Halafu mtoa mada anaonekana ni teenager maana mwanaume hawezi kuogopa kumtongoza demu popote pale.unaweza ukawa na degedege
Mara nyingi madomo zege kama haya huwa ni mepesi sana kuzama mfukoni.Mshawishi tu atakuja pm sasahivi.Huna swaga kijana njoo nikufundishe alafu mfuko usome fresh hahahaha [emoji126] [emoji108]
Mkuu huko kuambiana ndo kutongoza kwenyewe.zama za kutongoza zimeisha siku hizi mnambiana tu ukweli bila kificho
Hiv inakuaje mtu kwenye simu unaweza (kutongiza) demu lakini ukiwa nae live unakosa cha kuongea
Msaada plz!!!
Inambie Simu IkakubembelezeeHiv inakuaje mtu kwenye simu unaweza kutongiza demu lakini ukiwa nae live unakosa cha kuongea
Msaada plz!!!
Wakifuzu uwa wanakuwa wasumbufu sana hawa..Ngoja tumuache tuMaster mfundishe huyo! He must be a Seminary bway!
HahahaMara nyingi madomo zege kama haya huwa ni mepesi sana kuzama mfukoni.Mshawishi tu atakuja pm sasahivi.
Halafu aanzie kwakoHuna swaga kijana njoo nikufundishe alafu mfuko usome fresh hahahaha [emoji126] [emoji108]