Sijui upo ktk kutumia dawa gani mkuu?inawezekana labda kuna baadhi ya medicines unazozitumia ndio cause ya hilo tatizo,mfano dawa za kusaidia homoglobin huwa zina tatizo la kumfunga mtu choo,maji mengi na mboga za majani na matunda kwa wingi husaidia pia vyakula vyenye vibers ni vizuri kama vile karanga zozote zile za kukaangwa au kuchemshwa pia zitakusaidia sana,pia kama wewe ni mtu wa kula ugali basi tumia unga wa dona(whole wheat flour)usile mikate myeupe ni hatari kwako na afya yako.Kuna kitu ningekushauri uwe unatumia kila baada ya meal hasa ya jioni,sijui mwenzangu upo wapi,kama upo north America tafuta kitu inaitwa meta mucial ni powder fulani hiyo itaweza kufungua njia yako na hilo tatizo ka uta maintain hivyo vyakula vyenye fiber kwa wingi utakuwa fixed mara moja.Kama upo hizi nchi zilizoendelea labda ningekushauri ujaribu kufanya test ya damu yako ili wapate full blood picture yako wajue ni chemical gani inayosababisha hali ka hiyo kutokea mwilini mwako.Pole sana na hilo tatizo ndugu yangu hata mimi mwenzio tayari nimeisha sumbuliwa sana na hilo tatizo lakini baadaye waligunduwa kilichokuwa behind it,sasa niko sawa namshukuru m/mungu.M/Mpamba.