Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari wanajamvi.nina tatizo la kukosa haja kubwa mara kwa mara.pengine naweza kupitisha hata siku tano hadi sita na kasababisha tumbo kuvimba.nimekwenda hospitali kutibiwa na nimepewa dawa mara nyingi lakini imeshindikana.nimeshauriwa kunywa maji mengi,matunda na mboga za majani lakini imeshindikana na yenyewe.tatizo hili nimedumu nalo kwa kipindi cha miaka mitatu sasa.naomba ushauri wenu pengine nipate ufumbuzi wa tatizo hili.
km hospital wameshindwa nenda kwa wichdoctor mkuu.
habari wanajamvi.nina tatizo la kukosa haja kubwa mara kwa mara.pengine naweza kupitisha hata siku tano hadi sita na kasababisha tumbo kuvimba.nimekwenda hospitali kutibiwa na nimepewa dawa mara nyingi lakini imeshindikana.nimeshauriwa kunywa maji mengi,matunda na mboga za majani lakini imeshindikana na yenyewe.tatizo hili nimedumu nalo kwa kipindi cha miaka mitatu sasa.naomba ushauri wenu pengine nipate ufumbuzi wa tatizo hili.
nadhani kama upo tz utapata kwenye masoko ya wahindi pale uhindini linaitwa beetroot kwa kiswahili sijuihabari wanajamvi.nina tatizo la kukosa haja kubwa mara kwa mara.pengine naweza kupitisha hata siku tano hadi sita na kasababisha tumbo kuvimba.nimekwenda hospitali kutibiwa na nimepewa dawa mara nyingi lakini imeshindikana.nimeshauriwa kunywa maji mengi,matunda na mboga za majani lakini imeshindikana na yenyewe.tatizo hili nimedumu nalo kwa kipindi cha miaka mitatu sasa.naomba ushauri wenu pengine nipate ufumbuzi wa tatizo hili.