ERIC JOSEPH JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 567 Reaction score 55 Mar 7, 2013 #1 Naomba ushauli mke wangu toka amejifungua sasa ni mwezi wa tatu na mtoto anashika mwezi wa nne hajapata hedhi je nikawaida.?au ni tatizo.?
Naomba ushauli mke wangu toka amejifungua sasa ni mwezi wa tatu na mtoto anashika mwezi wa nne hajapata hedhi je nikawaida.?au ni tatizo.?
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 Mar 7, 2013 #2 Consult a doctor.
N Nyasigwa R I P Joined Mar 5, 2012 Posts 36 Reaction score 12 Mar 8, 2013 #3 Mimi nilivyojifungua sikupata hedhi wakati nanyonyesha mpaka mtoto alivyoacha kunyonya ndo ikaanza tena sikwenda kwa dk na sijui inasababishwa na nini
Mimi nilivyojifungua sikupata hedhi wakati nanyonyesha mpaka mtoto alivyoacha kunyonya ndo ikaanza tena sikwenda kwa dk na sijui inasababishwa na nini
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 8, 2013 #4 kawaida