kutopata hedhi

kutopata hedhi

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
567
Reaction score
55
Naomba ushauli mke wangu toka amejifungua sasa ni mwezi wa tatu na mtoto anashika mwezi wa nne hajapata hedhi je nikawaida.?au ni tatizo.?
 
Mimi nilivyojifungua sikupata hedhi wakati nanyonyesha mpaka mtoto alivyoacha kunyonya ndo ikaanza tena sikwenda kwa dk na sijui inasababishwa na nini
 
Back
Top Bottom