Kutoroka kwa Wafungwa, mapya yaibuka

Wabongo wanaosifia Kenya kwa kila kitu watasifia na hili.

Waambie pia ile financial bill waliyoipinga kwa kumwaga damu imepitishwa, so maandamano yote went in vain. Wabongo watasifia bado.
 
Mijangili ya CCM inakenyua meno baada ya kupata hizi taarifa.

Sasa wanaojifanya wakosoaji sasa wataokotwa kwenye viroba na kisingizio itakuwa muuaji toka Kenya.
 
Hizi ni Tamaa za Fisi.
Zitawaponza hao Maafisa. Waliohisika na tukio la kuwatorosha hao wafungwa 13.
 
Mijangili ya CCM inakenyua meno baada ya kupata hizi taarifa.

Sasa wanaojifanya wakosoaji sasa wataokotwa kwenye viroba na kisingizio itakuwa muuaji toka Kenya.
Mmoja atasimama na sisi.
Mungu Atatusimamia wote wasio na hatia.
Ngoja tuwaache Washindane na Mungu.
Majibu watapata
 
Wabongo wanaosifia Kenya kwa kila kitu watasifia na hili.

Waambie pia ile financial bill waliyoipinga kwa kumwaga damu imepitishwa, so maandamano yote went in vain. Wabongo watasifia bado.
waache wasifie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…