Anatafuta rushwa huyo!Halafu inashangaza zaidi aliposema ingawa huko kwenye mataifa wanaweza wakawataja lakini sisi tunafuata sheria. !! 😅
Nimeshindwa kumuelewa !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta rushwa huyo!Halafu inashangaza zaidi aliposema ingawa huko kwenye mataifa wanaweza wakawataja lakini sisi tunafuata sheria. !! 😅
Nimeshindwa kumuelewa !!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bw. Lyimo amejitapa ni Papa mkubwa na anafahamika duniani kote na kwamba amekuwa akisakwa na nchi mbalimbali.
Hii nchi tunapenda sana sifa na kujilinganisha, mara ooh sisi ni wa kwanza afrika kuwa na vifaa vya kisasa vya tiba ya moyo; mara ooh sisi ni wa kwanza kuwa na jengo zuri nk.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo akisakwa na Nchi zote na aliyefanikiwa kumkamata ni Tanzania. Heko kwa Jeshi letu kwa intelijensia kubwa ya Kimataifa.
Mama anaupiga mwingi
Wanalima bagamoyo?Logic ya kawaida sana,Mapapa wapo kwenye makasri wanacheza na wajukuu..Wengine wapo kwenye ranch zao wanalima mananasi kwakuzuga.
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Hata huyo sio papa ,wale mapapa hawezi kuwataja hana huo uwezo...Maan hata kibarua wamempa wao.
Hayo mapapa yamo ndani ya serikali na CCM vinginevyo ni drama tu inafanyika![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo akisakwa na Nchi zote na aliyefanikiwa kumkamata ni Tanzania. Heko kwa Jeshi letu kwa intelijensia kubwa ya Kimataifa.
Mama anaupiga mwingi