Mulyambange
Member
- Mar 14, 2015
- 62
- 20
RAIS amateua mwenyekiti wa BOARD ya NBAA (T) NI karibia miezi 2 sasa. ILA MWIGULU hajateua Wajumbe mpaka sasa
swali wake mwingulu
ni dharau kwa mamlaka za uteuzi au anasubiria mpaka wapatikane wale wa lile kabila km walivyozoea kipindi cha shujaaa wa africa
MADHARA YANATOKANAYO NA DHARAU ZA MWIGULU NI KM HAYA
1. MATOKEO YA NBAA EXAM ZA NOVEMBER 2021 hayatatolewa paka pale board iwe imekamilika (yaan Wajumbe wateuliwe NA MWIGULU)
2. MASOMO YANAYOANZA JANUARY KWA MTIHANI WA MAY 2022 HAYATA ANZA
USHAURI HUU UMFIKIE ALIPO MWIGULU
TEUA BOARD WATU WANASUBIRIA MATOKEO WW NDIO KIKWAZO