nyambaterito
Member
- Aug 11, 2022
- 51
- 46
- Thread starter
- #21
Duuh! Pole sana.Ila kwa kweli hili swala lina keraa mnoo.Lina ghalimu maisha ya watuNchi hii vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi nyingi sana, lakini haziko za kiasi cha kukosa askari angalau mmoja kwa kila zahanati au hospitali.
Basi hata wale trafiki waliotolewa barabarani, angalau wapangiwe huko mahospitalini ili kutusaidia tupate huduma baada ya ajali.
Yalishanikuta na chamoto nilikiona.