Kutotungwa kwa Mimba

Kutotungwa kwa Mimba

Kama upo ndan yandoa , unaweza sema kutopata mimba nikwaupande zote mbili .

Ngoja nizungumzie Kwa mwanamke mwenye uwezo wakuzaa( Sio tasa) lkn hapati mimba .

Wanawake wenye mwandamo was siku 18-23 tu hawa huanza kuona ute unaoteleza wauzazi wakati was hedhi ( bleeding). Hawaoni ute mkav kabla yaute wa uzazi . hivyo kwauyu kijiyai chake huchopoka mwisho mwa hedhi au baada ya hedhi ,, KWAIYO HUYU AKITAKA MTOTO NILAZIMA AFANYE TENDO WAKATI WA HEDHI !!.

Kwa mzunguko wa siku 28 zisizobadilika ,naww sio tasa ,,, basi Wenda ikawa sababu yahii..

Mbegu za Mme zinaishi masaa 12 tu

Kijiyai hakichopoki ktk kika mwandamo kinachopoka Mara Kwa Mara kwaiyo nivizur Ku note kila aina ya ute uken na kufanya tendo landoa katika kila ute wauzazi utakapouona .

Achana nakufanya tendo kila siku ,,Bali fanya kila Mara ambapo ute wauzazi utakapoufeel.,hii itasaidia mbegu za me kuiva ...lkn km mtafanys haraka ili mradi mpate mmhhhh unaweza kusubiri..

Kwaiyo nivema ktk siku zisizonauzazi mkutane Mara moja au mbili LKN SIKU ZA UTE WAUZAZI NDO MFANYE SHUGULI HASAA.

Kikubwa mama ajitahidi kutambua aina ya ute unaomtoka uk mwake akikuta niwauzazi basi ndo mkutane .

N.b ,, hayo nimaelezo ikiwa wewe unauwezo wakuzaa (sio tasa ). Namaanisha maungo yako yauzazi yako sawa .

But Kwa utasa izi zaweza kuchangia
- mfuko wa vijiyai haupevushi kijiyai
-mirija imeziba
-uke unawasha
-hormone hazifanyi kazi
-me na ke hampatani rohoni yaan hampo karibu kiroho
- ke unachoshwa nakazi nyingi sana kwaiyo mwili unajipumzisha kwakutoruhusu kijiyai kuiva .
-kua namatezi ktk tumbo lauzazi .

Mwisho , nivema kwenda kupata ushauri hosp
.
Mkuu, umesema mbegu zinakaa kwa masaa 12? sio 72?
 
Mkuu, umesema mbegu zinakaa kwa masaa 12? sio 72?
Mkuu kuna wanaume hutoa mbegu dhaifu ambazo huishi masaa 12 tu ...all in all nikwamba mbegu nje ya uke hukaa dakika 20-60 zinakufa ,,,,, mbegu ndan ya uke zinauwezo wakuishi siku tano,, hats ivo kuna badhi ya wanaume hutoa sperm zaif ambazo huish masaa 12 tu Zikiwa ukeni .

What if alidate usiku wa saa 6 kuamkia leo kisha siku yake ya 14 tangu alipobleed ni J3. Nimekuuliza hivyo sababu nasikia yai linapovuka siku 14 baada ya kubleed na kama mzunguko wake ni 28 days.
 
Haaha jamaa kwa kubadilika badilika, mwanzoni ulisema zinaishi 12hrs ma hauku specify, ila sasa ivi vizuri ata mtu akisoma anakuelewa nin unamaanisha.
 
What if alidate usiku wa saa 6 kuamkia leo kisha siku yake ya 14 tangu alipobleed ni J3. Nimekuuliza hivyo sababu nasikia yai linapovuka siku 14 baada ya kubleed na kama mzunguko wake ni 28 days.
Anyway ,,mpaka inafika siku ya 14 tayari kuna kuwepo na ute ambao kazi yake kubwa nikulisha mbegu zababa ,, sasa inapotokea mbegu zababa nidhaifu inatokea hata km zitaukuta huu ute basi kwao hua ningumu kuishi kusubiria yai ,, lkn kama zipo active sawasawa basi km siku ya 14 nijatatu basi apo zitaishi naatapata mimba !!.

N.b .. Narudia ,,kuna wanaume mbegu zao nidhaifu sana na chache ,,hawa wanashauliwa kufanya tendo ktk usiku wakuamkia siku ya 14 au ktk siku yenyewe au siku moja baada ya kilele.
 
Haaha jamaa kwa kubadilika badilika, mwanzoni ulisema zinaishi 12hrs ma hauku specify, ila sasa ivi vizuri ata mtu akisoma anakuelewa nin unamaanisha.
Tatizo mnasoma Kwa kuruka ruka ,, hiyo point nimeiweka ikijitegemea na nmeitaja kama sababu moja yapo ya mama kutopata mimba.

Ndio nikasema ivi,, Mbegu za baba kuishi masaa 12 .... Nmeitaja km sababu ya kutotungisha mimba ikiwa mbegu zako zinaishi kwauo muda mfupi ...

Kwan nani kakuambia wanaume wote mbegu zao huishi zaidi ya masaa 36 ???? Hujui kuna watu wanamatatizo.

Msome mkielewa sio kukalili.
 
Anyway ,,mpaka inafika siku ya 14 tayari kuna kuwepo na ute ambao kazi yake kubwa nikulisha mbegu zababa ,, sasa inapotokea mbegu zababa nidhaifu inatokea hata km zitaukuta huu ute basi kwao hua ningumu kuishi kusubiria yai ,, lkn kama zipo active sawasawa basi km siku ya 14 nijatatu basi apo zitaishi naatapata mimba !!.

N.b .. Narudia ,,kuna wanaume mbegu zao nidhaifu sana na chache ,,hawa wanashauliwa kufanya tendo ktk usiku wakuamkia siku ya 14 au ktk siku yenyewe au siku moja baada ya kilele.
Mkuu mbegu chache unajuaje???
 
Mkuu mbegu chache unajuaje???
Well ,,, hii sasa mpaka ifanyike vipimo maalumu ,,shahawa zako zichukuliwe nkisha kupimwa kujulikana nikiasi gan cha mbegu kimo ....kwaufupi ule mpigo mmoja wa shahawa unapaswa kua na mbegu kuanzia million 100--400 ,, sasa inatokea wakati kuna wanaume mbegu zao hazifikii kiasi iko ,,either sababu kende ziliugua ,,kazi nyingi sana ,,mlo duni ,, magonjwa ya ngini ex ,,gono etc !!. Hupelekea mbegu kuzalishwa chache....

Nb. Shahawa sio mbegu ...shahawa zimebeba mbegu ..mbegu hutegemea shahawa kuishi.
 
Mimba kutungwa sio automatic my friend.

Ujue kuna very fertile days na siku ambazo uwezekano wa mimba kunasa unakuwa nil.

Kuna favourable sexual positions za kupata uja uzito.

Kuna uwezo wa sperm kuogelea na kufikia yai na kunasa kwenye yai. Kuna issue ya hili yai kuwa limeiva na kuweza kupokea sperm ili conception ama kutungwa kwa mimba kutokee.

Haya yote inabidi uyajue na sio u base kwenye moja.

God shall grant you a child. All the best.
Sasa mkuu tatizo linakuwa ni lipi kama mmepima wote mko sawa
 
Ni mwaka wa tatu huu

Na kwa kipindi hicho cha 3yrs kuna hatua zozote mmejaribu kufanya wewe na mwenzako eg kuonana na Dr kwa ushauri au vipimo na mkafanya mliyoagizwa lakini bado hamkufanikiwa?
 
Na kwa kipindi hicho cha 3yrs kuna hatua zozote mmejaribu kufanya wewe na mwenzako eg kuonana na Dr kwa ushauri au vipimo na mkafanya mliyoagizwa lakini bado hamkufanikiwa?
Vipimo vinaonesha hakuna tatizo
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako zaid ya yote mdum ktka maombi huku mkimkubsha Mungu juu ya agano lake alipowaumba Adam na hawa mwanz1:18
 
Ndugu nakushauri kitu, katika maisha yako ili ufanikiwe jambo omba mungu akusaidie huku kuna kitu unafanya.

mfano, hiyo couple iende hospital kwa ajili ya uchunguzi + ushauri wa kiafya at the same time wakiomuomba Mungu hapo kufanikiwa ni rahisi.

Ila wakikaa kusubiria, kama wanatatzo wataisoma no. ata walale church.
hivi kwa akili yako unafikiri hadi analeta mada hiii hapa atakuwa hajaenda hospitali? mtu anatafuta mimba, ukishaona hadi ameanza kufunguka mwenyewe lazima kama ni mwanamke amejaribu sana michepuko ababikize akaona hola, jaribu sana ushauri kwenye masaloon yao huko hola, jaribu sana kwa waganga wa kienyeji hola, mitishamba ya masai hola, hapo ndio anahangaika kuamua kusalenda kwa jamii imshauri.

amekuambia hajaenda hospital? na kwa akili ya kawaida, hivi tatizo kama hilo linaweza kumpata mtu mzima mwenye akili timamu akalileta hapa bila kwenda hospital au hata kununua vidonge pharmacy? just try kuchezesha antena ya akili yako ugundue haya.
 
Back
Top Bottom