Kutovaa barakoa nalo tamko la kisiasa?

Kutovaa barakoa nalo tamko la kisiasa?

Mliomuunga mkono ni wapumbavu. Hamjui maambukizi ya virus huwa yanakuja kwa awamu za milipuko? Inakuja awamu ya kwanza, intatulia kidogo, inakuja awamu wa pili inatulia na isipodhibiwa itakuja tena awamu nyingine. Sasa kwa ufinyu wenu wa mawazo mkadhani Mungu ndiye aliyeituondoa! Kwani hizo nchi nyingine Mungu hayupo?

Kunywa kinywaji chochote hapo ulipo niPM nije nilipe. Walikuwa wanasema eti Magufuli alishinda corona tena kwa vitisho na shuruti tukubali huo utapeli, laki tuliendelea kubaki na ukweli wetu kuwa walichokuwa wanasema ni utapeli kama utapeli mwingine. Sasa anasema kaitisha maombi, ili kuanzia wiki ijayo watumie tena vitisho kusema corona imeisha. Lengo halisi ni serikali kukwepa kutoa hela kununua vifaa tiba.
 
Nimeamini kuwa, Uongozi si kitu cha mchezomchezo, Mimi nakubaliana kabisa na wakuu wa nchi wawe wanapokea mkwanja wa juu zaidi, Maana huwenda wanamaisha magumu mioyoni mwao kuliko hata mlala Hoi

Mwaka Jana, Ni dhahiri Shairi kuwa, tuliishinda Korona, na tuliishinda Kwa maombi pekee, na mtu siwezi kumweliewa ati aseme tulikuwa tukinawa Sana, kuvaa barakoa Sana na kutokutengeneza umati wa watu, stamwelewa Kwa sababu, hata nchi nyingine zilifanya huo mtindo lkn Korona haikuwaacha Hadi wimbi la maambukizi ya pili yamekutana na wimbi la maambukizi ya awali

Kipindi hicho, kila mtu alimuunga mkono Raisi na kumpongeza Kwa maono na namna ajabu Korona iliyopotea, nakumbuka kina mh Lissu, alitaka kung'ang'ania agenda ya Corona eti IPO nchini, nakumbuka chama chake chenyewe kilimuonya kuwa hiyo agenda itampotezea wapiga Kura Kwa kuwa Korona haikuwepo

Sasa leo, kila mtu tena anamgeuka Raisi, kila mtu anamnyooshea kidole, kila mtu Anasema lake, kelele nyiiingi Kwa Serikali, unajiuliza, Tulipookoka na wimbi la maambukizi ya awali, mbona tulimwita shujaa, na tumshangilia Mungu?

Inavyotokea sasa, ndivyo ilivyokuwa hata kipindi cha awali, kila mtu alipiga kelele na kurusha kila Aina ya lawama Kwa Rai's

Kama tulipona mwaka Jana, Je, kunachochote tulimtunuku Raisi wetu Kwa kutuongoza vema ktk mapambano hayo licha kwamba nchi nyingine zilibaki Tete?

Rais wangu pole, na Mimi Naamini Kwa Imani yako hiyohiyo, itatuvusha tena, Na Mungu hajawahi kumwaibisha mja wake, najua katika hili kuna watu weengi na mataifa meengi wanaendelea kuucheka huu msimamo wako, na wamejiandaa kukucheka tena Kwa dharau, na huwenda kuna watu wanatamani waone vifo vikizidi kuongezeka Ili tu kukunanga wewe wakidhani wakikunanga wewe inatosha, hawajui pia kwamba watakuwa wakimnanga Yule unayemtegemea!!

Naungana nawe Raisi, kwamba Kwa Mungu pekee tutashinda, Tanzania imeandaliwa kuwa sehemu ya kuleta wokovu duniani

Kama tuliishinda mara ya Kwanza, tutashinda tena hili jaribu la pili,

Hata Ayubu alijaribiwa kwenye Mali zake, Kisha watu wake na Kisha yeye mwenyewe lakini aliahinda

Kila aliyeukimbilia msalaba alipata wokovu
1 Timotheo 5:23 "Usiendelee kunywa maji, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na ugonjwa wako wa mara kwa mara." Huu ni ushauri wa MTUME Paulo kwa MTUMISHI wa Mungu Timotheo.
 
View attachment 1707080

Sayansi huwa haikopeshi.
Ukiichezea inakuumbua, maana sayansi kama Mungu alivyo, sayansi ni UKWELI.
Hatuwezi kuudhibiti ukweli, hata uwe na nguvu kubwa sana ya kisiasa.

Tunajua kuwa kuna tatizo kubwa sasa hivi la vifo vinavyo sababishwa na changa moto ya kupua.
Wewe ita nimonia (pneumonia), lakini wengine wanakuwa wakweli kusema ni covid10.

Tatizo ni kwamba iwe nimonia au covid lakini LINAUA.
Tukilijua hilo ambalo ni elimu kubwa sasa turudi kwenye jinsi ya kulidhibiti.

Tukijua kuwa gonjwa hilo linasambazwa na hewa, na kinga rahisi kuliko zote ni barakoa, kwanini wananchi wasihamasishwe kwa nguvu zote kujikinga na hilo gonjwa?

Viongozi wa juu wengi wanakufa kwa kukosa maarifa.
Kwa nini hawavai barakoa na kuchukulia kitendo cha kuvaa au kutovaa barakoa kuwa tamko la kisiasa?
Wanafuata matakwa ya Mkuu wa Mji. Niliona clip akiwashukuru waumini wa kanisa moja Dodoma kwa kutovaa barakoa.
 
Nimeamini kuwa, Uongozi si kitu cha mchezomchezo, Mimi nakubaliana kabisa na wakuu wa nchi wawe wanapokea mkwanja wa juu zaidi, Maana huwenda wanamaisha magumu mioyoni mwao kuliko hata mlala Hoi

Mwaka Jana, Ni dhahiri Shairi kuwa, tuliishinda Korona, na tuliishinda Kwa maombi pekee, na mtu siwezi kumweliewa ati aseme tulikuwa tukinawa Sana, kuvaa barakoa Sana na kutokutengeneza umati wa watu, stamwelewa Kwa sababu, hata nchi nyingine zilifanya huo mtindo lkn Korona haikuwaacha Hadi wimbi la maambukizi ya pili yamekutana na wimbi la maambukizi ya awali

Kipindi hicho, kila mtu alimuunga mkono Raisi na kumpongeza Kwa maono na namna ajabu Korona iliyopotea, nakumbuka kina mh Lissu, alitaka kung'ang'ania agenda ya Corona eti IPO nchini, nakumbuka chama chake chenyewe kilimuonya kuwa hiyo agenda itampotezea wapiga Kura Kwa kuwa Korona haikuwepo

Sasa leo, kila mtu tena anamgeuka Raisi, kila mtu anamnyooshea kidole, kila mtu Anasema lake, kelele nyiiingi Kwa Serikali, unajiuliza, Tulipookoka na wimbi la maambukizi ya awali, mbona tulimwita shujaa, na tumshangilia Mungu?

Inavyotokea sasa, ndivyo ilivyokuwa hata kipindi cha awali, kila mtu alipiga kelele na kurusha kila Aina ya lawama Kwa Rai's

Kama tulipona mwaka Jana, Je, kunachochote tulimtunuku Raisi wetu Kwa kutuongoza vema ktk mapambano hayo licha kwamba nchi nyingine zilibaki Tete?

Rais wangu pole, na Mimi Naamini Kwa Imani yako hiyohiyo, itatuvusha tena, Na Mungu hajawahi kumwaibisha mja wake, najua katika hili kuna watu weengi na mataifa meengi wanaendelea kuucheka huu msimamo wako, na wamejiandaa kukucheka tena Kwa dharau, na huwenda kuna watu wanatamani waone vifo vikizidi kuongezeka Ili tu kukunanga wewe wakidhani wakikunanga wewe inatosha, hawajui pia kwamba watakuwa wakimnanga Yule unayemtegemea!!

Naungana nawe Raisi, kwamba Kwa Mungu pekee tutashinda, Tanzania imeandaliwa kuwa sehemu ya kuleta wokovu duniani

Kama tuliishinda mara ya Kwanza, tutashinda tena hili jaribu la pili,

Hata Ayubu alijaribiwa kwenye Mali zake, Kisha watu wake na Kisha yeye mwenyewe lakini aliahinda

Kila aliyeukimbilia msalaba alipata wokovu

Kwa hiyo tuache kupiga nyungu twende kwenye maombi au vipi?
 
Tusidanganyane. Hatujawahi kuishinda korona hata kidogo. Serikali iliacha kwa makusudi kutoa takwimu na kuwaaminisha raia kuwa gonjwa limeisha ili uchaguzi ufanyike. Nukta.
 
Kuishinda Corona ina maana gani kwako?

Mola huwa hasamehi wanafiki.
Nimeuliza tuvae au tusivae barakoa.
KIMYA!!!!
Roho mnazozitoa mtazijibu hata kabla hamjafa.
 
Yaani nimecheka kwa nguvu ile mbaya, eti wakati huo kila mtu alimuunga mkono kwa kuishinda corona. Aliuungwa mkono na kila mtu, au kulitumika vitisho na kushurutisha watu waamini kuwa corona imeisha? Kilichofanyika ni serikali kuacha kutoa taarifa za wagonjwa na vifo na wala sio corona kuisha, msidhani kama tuna ujinga huo wa kuamini wapika data.

Jambo pekee wangalau aliungwa mkono na wengi ikiwemo mimi, ni kutokuweka watu lockdown,na hata sasa namuunga mkono kwenye kutokuweka lockdown,lakini kwenye mambo mengine hamna kitu. Usidhani kuminya uhuru wa vyombo vya habari basi ndio unatuondolea uwezo wetu wa kupima mambo. Awamu ya kwanza ya Corona haikuwa kali, ndio maana ilikua rahisi kuhadaa umma kuwa hakuna corona. Na wala hakuna maombi yanaondoa corona, huku serikali ikikwepa wajibu wake wa kununua vifaa tiba vya kutosha kila hospitali.
Shikilia Imani yako na kama hujatengeneza na Mungu wako, Anza leo Kwa kuwa Korona hii unayoiona leo, kuna nyingine ya awamu ya tatu inayoandaliwa na hao mnaowaita eti wapo kushughurikia shida za watu

Itakuwa imeongezwa ukali maratatu zaidi,
 
Viruses wa mwaka jana walikuwa wachumba tu..hii variant ya second wave ni deadly..ndo maana watu wanapukutika..maombi sio lolote..watu wasingehangaika kutafuta dawa za magonjwa mbalimbali,bali tungekuwa tunafunga tu na kuomba..tumepewa akili tuzitumie kutatua changamoto wisely..
Hii nayo ni cha mtoto, kuna ya tatu itakuja, ni Bora kutubu na kumrudia Mungu wako
 
Nimeamini kuwa, Uongozi si kitu cha mchezomchezo, Mimi nakubaliana kabisa na wakuu wa nchi wawe wanapokea mkwanja wa juu zaidi, Maana huwenda wanamaisha magumu mioyoni mwao kuliko hata mlala Hoi

Mwaka Jana, Ni dhahiri Shairi kuwa, tuliishinda Korona, na tuliishinda Kwa maombi pekee, na mtu siwezi kumweliewa ati aseme tulikuwa tukinawa Sana, kuvaa barakoa Sana na kutokutengeneza umati wa watu, stamwelewa Kwa sababu, hata nchi nyingine zilifanya huo mtindo lkn Korona haikuwaacha Hadi wimbi la maambukizi ya pili yamekutana na wimbi la maambukizi ya awali

Kipindi hicho, kila mtu alimuunga mkono Raisi na kumpongeza Kwa maono na namna ajabu Korona iliyopotea, nakumbuka kina mh Lissu, alitaka kung'ang'ania agenda ya Corona eti IPO nchini, nakumbuka chama chake chenyewe kilimuonya kuwa hiyo agenda itampotezea wapiga Kura Kwa kuwa Korona haikuwepo

Sasa leo, kila mtu tena anamgeuka Raisi, kila mtu anamnyooshea kidole, kila mtu Anasema lake, kelele nyiiingi Kwa Serikali, unajiuliza, Tulipookoka na wimbi la maambukizi ya awali, mbona tulimwita shujaa, na tumshangilia Mungu?

Inavyotokea sasa, ndivyo ilivyokuwa hata kipindi cha awali, kila mtu alipiga kelele na kurusha kila Aina ya lawama Kwa Rai's

Kama tulipona mwaka Jana, Je, kunachochote tulimtunuku Raisi wetu Kwa kutuongoza vema ktk mapambano hayo licha kwamba nchi nyingine zilibaki Tete?

Rais wangu pole, na Mimi Naamini Kwa Imani yako hiyohiyo, itatuvusha tena, Na Mungu hajawahi kumwaibisha mja wake, najua katika hili kuna watu weengi na mataifa meengi wanaendelea kuucheka huu msimamo wako, na wamejiandaa kukucheka tena Kwa dharau, na huwenda kuna watu wanatamani waone vifo vikizidi kuongezeka Ili tu kukunanga wewe wakidhani wakikunanga wewe inatosha, hawajui pia kwamba watakuwa wakimnanga Yule unayemtegemea!!

Naungana nawe Raisi, kwamba Kwa Mungu pekee tutashinda, Tanzania imeandaliwa kuwa sehemu ya kuleta wokovu duniani

Kama tuliishinda mara ya Kwanza, tutashinda tena hili jaribu la pili,

Hata Ayubu alijaribiwa kwenye Mali zake, Kisha watu wake na Kisha yeye mwenyewe lakini aliahinda

Kila aliyeukimbilia msalaba alipata wokovu
Revisionist history. Ungepewa nafasi ya kuandika historia ya vita vya majimaji, vizazi vingekumbuka jinsi risasi zilivyodunda. Kwa ushauri tu, ukiangalia kila kitu Kwa macho ya Chadema na CCM, kuna watanzania makumi ya mamilioni unawasahau.
 
Acha ulimbuken ww mwaka jan ujamshukuru mh Rais katika kupamban na huk swal mbn haufikir

Mkuu, kwani si mwaka jana huo huo tukihimizwa kuepuka mikusanyiko isiyokuwa na lazima (kiasi hata new conferences hazikuruhusiwa na polisi? Si mwaka jana vyuo na shule vilifungwa? Si mwaka jana watu walivaa barakoa?

Covid haukuwahi kuondoka Tanzania (hilo linaweza kuthibitishwa na takwimu tu, kama zilivothibitisha kuwepo). Kilichofanyika na kuondolea watu uoga dhidi ya ugonjwa na kutaka tuishi nao. Na kweli tuliishi nao. Ubaya ni huu, njia zote za kisayansi zilidhihakiwa na habari ya Mungu “kutuponya” ikapewa nguvu. Kumbe tulikuwa tunachezea uwezo wa watu kuchukua tahadhari! Sasa kuna SA variant na hatuwezi kuwaambia tena wajilinde kwa sababu tunaogopa kuweka mashaka katika imani na Mungu!!
 
Shikilia Imani yako na kama hujatengeneza na Mungu wako, Anza leo Kwa kuwa Korona hii unayoiona leo, kuna nyingine ya awamu ya tatu inayoandaliwa na hao mnaowaita eti wapo kushughurikia shida za watu

Itakuwa imeongezwa ukali maratatu zaidi,

Huyo mungu wenu mnayemuamini hana uwezo wa kuzuia hiyo awamu ya tatu? Basi mna mungu dhaifu sana ambaye anaangalia wazungu wakitengeneza maangamizi kwenu nyie mnaomuamini. Sasa kama huyo mungu wako hawezi hata kuzuia binadamu wanaotaka kuuangamiza wanaomuamini, mimi niwe na imani naye ili nipate nini?
 
Soma hii mkuu itakusaidia na tafakati yake nakuachia wewe

Zaburi 91:5-7
Hutaogopa hofu ya usiku,
Wala mshale urukao mchana,

Wala tauni ipitayo gizani,
Wala uele uharibuo adhuhuri,

Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako.
Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume!
Hata hivyo hautakukaribia wewe.
 
Ndio nukuu toka kitabu cha huyo mungu wako aliyewaacha muuwawe na wazungu?
 
Nadhani tatizo lako sio Mimi, na tatizo lako pia siyo Mungu, Ila mungu,

Kama shida yako ni mungu uko Sawa, lakini kama shida yako itakuwa ni Mungu/MUNGU basi unautani mbaya Sana mkuu na sikuwezi

Na stakufuatilia tena hizi michango yako, Asante
 
Bora usinifuatilie maana utaishia kukwazika tu.
 
Back
Top Bottom