Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ulitaka wafanye kazi gani ili uone wanafanya kazi.....Hawa mawakili siku hizi hawana Kazi za kufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka wafanye kazi gani ili uone wanafanya kazi.....Hawa mawakili siku hizi hawana Kazi za kufanya?
Hahaha li NGO naona mnaweweseka, kinachowasumbua nini? Mbona mlisema anaipiga mwingi na mlikunywa na kuchinja mkisherehekea mwisho wa kutekwa na kuuawa kwa sababu mlisema Dkt Magufuli kafa hivyo ndiye alikuwa anaagizia utekaji na mauaji hahaha mkomeeeee kabisa wahuni nyie. Sisi tuliwaambia jamani kuna kikundi cha wahuni na siyo serikali mlitutukana badala tushirikiane kubaini chanzo ila mliendelea kusherehekea kifo cha Dk MagufuliHayo mambo yanachosha sana naona kabisa anguko la serikali ya Rais Samia likikaribia. Yetu macho na masikio.
Ikiwa ni siku chache baada ya kuripotiwa kutoweka kwa Kijana Deusdedith Soka ambaye ni Mwanachama wa Chadema mkazi wa Temeke Dar es Salaam pamoja na wenzake wawili, Wakili Paul Kisabo amefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya Hati ya dharura dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) na OCCID Temeke 'aliyewasiliana na Soka'.
Wengine ambao wameunganishwa kwenye kesi hiyo ni DZPC,ZCO,DPP na AG imesajiliwa leo August 23, 2024 kwa No 202408222000023998.
Ambapo kesi hiyo imepangwa kwa Mhe. Jaji Wilfred Dyansobera. Lakini bado haijapangwa tarehe rasmi ya kusikilizwa.
View attachment 3077377
Soka na wenzake Jacob Mlay na Frank Mbise waliripotiwa kutoweka August 18, 2024 wakiwa wanaelekea kituo cha Polisi ikidaiwa kuwa walipigiwa simu kwenda kufuatilia suala la pikipiki ya Soka iliyodaiwa kuibiwa.
Baadhi ya wanafamilia ambao walizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari August 22, 2024 ambapo mzungumzaji Mkuu alikuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, walidai kuwa wameshafutalia kwenye vituo vya Polisi lakini hawajafanikiwa kuwaona wahusika hao, huku taarifa walizonazo ni kwamba wahusika walichukuliwa na Noah wakiwa njiani kuelekea kwenye kituo cha Polisi.
Soma KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdedith Soka atauawa na kutupwa msituni

Duuh......Ndio hawa walikuja kujipanga Mazimbu Morogoro Nyerere akawapa Ulinzi?"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."
Oliver Reginald Tambo, former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.