Kutoweka kwa Soka na wenzake, IGP, DPP, OCCID Temeke kufikishwa Mahakamani kwa Hati ya dharura

Hayo mambo yanachosha sana naona kabisa anguko la serikali ya Rais Samia likikaribia. Yetu macho na masikio.
Hahaha li NGO naona mnaweweseka, kinachowasumbua nini? Mbona mlisema anaipiga mwingi na mlikunywa na kuchinja mkisherehekea mwisho wa kutekwa na kuuawa kwa sababu mlisema Dkt Magufuli kafa hivyo ndiye alikuwa anaagizia utekaji na mauaji hahaha mkomeeeee kabisa wahuni nyie. Sisi tuliwaambia jamani kuna kikundi cha wahuni na siyo serikali mlitutukana badala tushirikiane kubaini chanzo ila mliendelea kusherehekea kifo cha Dk Magufuli
 
Hawa wameshauliwa. Mchengerwa hana mchezo na ugali wake.
 

"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.

Aidha, Bw. Osama bin Laden alipokea lawama nyingi Sana kutoka kwa Serikali ya Marekani na CIA baada ya kutekeleza mashambulizi yake ya kutumia ndege, mashambulizi yanayojulikana sana kwa jina la September Eleven ya Mwaka 2001. Katika kujibu mapigo ya lawama hizo Osama bin Laden aliwajibu Marekani hivi:-

"If you undermine our security, we undermine yours too, and if you kill our people we kill yours too. The choice is yours."
 

"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Duuh......Ndio hawa walikuja kujipanga Mazimbu Morogoro Nyerere akawapa Ulinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…